Mfundishe mtoto ukweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mfundishe mtoto ukweli

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by dicksonleonard, Sep 3, 2012.

 1. d

  dicksonleonard New Member

  #1
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 31, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baba mmoja alikuwa na mtoto wake wa kiume akawa anataka kumlea ktk maadili mema ili asifuate ya dunia.
  Siku moja mtoto alikuwa akicheza na wenzake, mara wakakorofishana mwenzake akamtukana ''KUMAMAYE''
  Yule mtoto akalia na kwenda kumwambia baba yake, ndipo babake alipombembeleza na kumsii asiyajali hayo. Baadaye mtoto akamuuliza babake, eti baba kumamaye maana yake ni nn? Baba kwa sb hakutaka mwanaye ajifunze tabia mbaya akamdanganya kwa kumwambia maana yake ni ''MAKOCHI''
  Siku nyingine mtoto akiwa ktk kucheza akatukanwa tusi jingine. ''****** WE'' vivyohivyo mtoto akaenda kwa babaye kujua maana ya tusi hilo. Ndipo babaye akamwambia maana ya ****** ni MGENI.
  Siku nyingine tena akatukanwa tusi jingine, ''UNAFILWA WEWE'' Kama kawaida yake akaenda kwa babake kujua maana ya kufilwa. Babake akamwambia maana yake ni KUOGA.
  Siku nyingine tena akatukanwa, ''****** WEWE'' Safari hii babake akamwambia maana yake ni begi.

  Siku moja baba alikuwa bafuni anaoga, wakaja wageni 3 - dadake na baba, shemeji yake(yaani mme wa dadake) na mtoto wao. Wakati wageni wanagonga yule mtoto alikuwa sebuleni, kwa hiyo aliposikia hodi aliinuka na kufungua mlango. Mazungumzo yalikuwa hivi:

  MTOTO: Karibuni ******* wetu, karibu mkae kwenye makumamayo yetu, tundikeni mikundu yenu kwenye misumari
  hapo juu.
  WAGENI: We mtoto mbona unaongea mambo makubwa hivyo, babako yuko wapi?
  MTOTO: Baba yuko bafuni anafilwa.
   
Loading...