msakhara
JF-Expert Member
- May 26, 2019
- 297
- 405
Habari zenu wakuu...
Nimekua nikiperuzi websites maarufu kwa mauzo ya magari kutoka Japan yaani SBT na Be Forward...
Naona gari zimekuwa na bei kubwa sana ukicompare na kipindi kifupi kilichopita.
Yaani hizi ndogo mf. Allex, IST, Honda Fit, nk zote zinachezea kuanzia 17M hadi 22M wakati zilikua around 13M hapo mwanzo.
Sasa kununua ka-baby walker kwa 20M ni kiti kinatatiza kidogo, kinauma 😄. Ni wapi au namna gani ninaweza kupata bei rafiki/realistic kwa ubora mzuri? Nini kinaweza kuwa chanzo cha mfumuko huu?
Akina Mad Max na wazoefu wengine mnaweza mkawa na hints kwenye changamoto hii