Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,349
- 26,155
Huku namtumbo cement ni 15500
Namanyele ni 19000
Bei za vifaa vya ujenzi na vyakula zimepaa maradufu mara baada ya kuanza kwa awamu ya tano. Mfano,wilayani Kibaha mfuko wa saruji unauzwa kwa 13500 kutoka 13000 ya mwanzo. Bei pia imeongezeka kwa bati na hata mbao.
Kwahiyo Magufuli ndiye aliyeleta mfumuko wa bei?
kila kitu unaweka siasa, kwani kamtaja magufuli hapo?
Kwahiyo Magufuli ndiye aliyeleta mfumuko wa bei?
Awamu ya Tano inaongozwa na nani? Au bado unafikiri kuna marudio ya uchaguzi ili Lowassa apete!kila kitu unaweka siasa, kwani kamtaja magufuli hapo?
Nafikiri haujasoma vizuri mtoa mada alichoandika. Amesema "Bei za vifaa vya ujenzi na vyakula zimepaa maradufu mara baada ya kuanza kwa awamu ya tano." Sasa unatajaje Awamu ya tano bila kumhusisha Mhe. Magufuli? Kuhusu maharage nimekula ya kwenu!Umekula maharage ya wapi
Kama bei ya nyama inafika 15,000/=kwa kilo moja hiyo ni hatari tupu
Mh. Rais Magufuli aliahidi Cement na vifaa vya Ujenzi vitashuka bei.
Kwenye Stronghold za CCM kama Dodoma, Morogoro, Iringa, Singida, na Tanga pembezoni Nyumba ni za Udongo..Tembe na hazina Bati...Nyasi au tope..... Sasa huu ni mtihani kwa Mh. Magufuli..please take action.
Kuna tetesi zimesambaa sana Tanzania nzima kuwa DANGOTA Alitaka kuuza Cement kwa 8500 Tshs kwa mfuko...ETI CCM Wakakataa. Mh... Rais, look at this.
Mh. Rais, usipofanyia kazi haya mambo, ujue wapiga kura wako DODOMA, Singida, Morogoro umewaonea sana....
Kwa nini Cementi Ktoka Kenya ni bei rahisi kutoka Tanzania?
Kwa nini Cementi ya Pakistani ni rahisi kuliko ya Tanzania?