Naomba mdau yeyote mwenye uwelewa anisaidie niweze kuelewa huu mfumo wa zabuni ukoje na vigezo gani mtu anapaswa kuwa navyo kabla hajaanza kuomba hizi zabuni na faida mtu anaweza kupata kupitia mfumo huu please. natangliza shukrani zangu nyingi za dhati.
Jambo la kwanza kujua ni kwamba Ili uipate hiyo tender uhonge kwanza.
Yaani ni kupeana kwa kujuana.
Ni kichefuchefu. Nilitaka kujisajili lakini ninachokiona sifanyi huu ungese. Namfanyia mtu kwa sasa, naangalia nakosa maana.
Naomba mdau yeyote mwenye uwelewa anisaidie niweze kuelewa huu mfumo wa zabuni ukoje na vigezo gani mtu anapaswa kuwa navyo kabla hajaanza kuomba hizi zabuni na faida mtu anaweza kupata kupitia mfumo huu please. natangliza shukrani zangu nyingi za dhati.
Kwa ufupi mkuu, NeST si zabuni yenyewe, ni mfumo wa kielektroniki wa Serikali wa kusajili wazabuni, kutangaza na kuwasilisha zabuni hadi mchakato wa malipo. �
PPRA +1
Kabla ya kuanza, unatakiwa kuwa na biashara/kampuni iliyosajiliwa na nyaraka zinazohitajika kulingana na aina ya zabuni, kisha usajili NeST na kutafuta zabuni zinazoendana na uwezo wako. Kila tender ina vigezo vyake, hivyo si kila zabuni inahitaji sifa zilezile.
Faida ni kupata nafasi ya kufanya biashara na taasisi za Serikali, lakini ushindani na masharti ya tender lazima uyazingatie. Mfumo pia unaruhusu mchakato kufanyika online. �