kanisa la roma maeneo ya ngokolo, we ukiuliza tu mradi wa matofali wa askofu balima. vilevile kwa shy mi naona haya matofali yanatumiwa sana na wa2 wenye kipato cha juu na si watu wa hali ya chini. na wasiwasi yatakuwa na gharama za juu, anyway jumatatu coz niko hapa shy ntaulizia details zake kisha ntazibandika hapa jf.