Mfumo wa kupeana majina nchini Korea Kusini

"Wabongo mtu huwa na majina matatu".
"Hawana haya mambo ya jina la baba. Ni jina la mtu na familia basi"



Kwa hiyo unaona mfumo wetu ni wa hovyo na wao ndio bora.?
Mental slavery ni mbaya sana. Yaani mtu anakosa kujiamini na kujithamini hadi anajidharau.

Kuna bwana aliulizwa. 'sisi huku Tanzania sasa hivi ni saa 2 usiku na Marekani ni saa 7 mchana, wapi bora zaidi?'. Akajibu marekani ni bora zaidi. Yaani mtu unajidharau hadi mfumo wako wa majina. Tuna shida sisi waafrika.
Hiyo dharau unayoisema mbona wengine hatujaiona?
 
Back
Top Bottom