mfumo wa analog to digital | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mfumo wa analog to digital

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by olele, Aug 16, 2012.

 1. olele

  olele JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 814
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 80
  habari zenu wakuu,
  naomba msaada kujua kuhusu hii system ambayo nchi yetu inaingia mwishoni mwa mwaka huu, kuzima mitambo yote ya
  analog na kuingia kwenye mfumo mpya wa digital, naomba mwenye kujua hasa what is all about yaani nini kinaathirika, kama vile hizi tv zetu zitaathirikaje au hazitafanya kazi kabisa watu wanunue tv za aina gani? vipi kuhusu radio ni radio gani zitakua zinafunction au zenyewe hazihusiki, vipi kuhusu radio station coz radio station zinaanzishwa kila siku wao waponaje hapa, naomba msaada au ni wapi naweza kupata majibu haya mayb kuna web za serikali zinatoa elimu hii,
  kwenu ma great thinker.
   
 2. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,036
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mfumo wa digitar hapa bongo ni utapeli. Ufisadi. Wizi. Wala usikonde ndugu yangu kwa sasa we tulia tu. Redio za fm bado zitafanya kazi hadi 2015. Tv za chogo pia zitafanya kazi kupitia dekoda maalumu
   
 3. s

  shababi Member

  #3
  Aug 24, 2012
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  izo decoda ni zipi mkuu, je receiver za kawaida kama vile Mediacom zitaathirika?
   
 4. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Kuna thread humu liliongelewa kwa marefu na mapana, nakushauri jaribu kuitafuta. Kwa kifupi kama TV yako haina digital tuner ambayo ni compatible na system itakayotumika bongo (DVB-T) basi itabidi ununue TV mpya au ununue decoder itakayochukua digital signal na kuigeuza kuwa analog kwa jili ya TV yako.
   
 5. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2012
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 3,169
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  Mimi nina DISH la wavu vipi halitafanya kazi?????
   
 6. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #6
  Aug 24, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Ni kwamba signal zitakuwa zinasafirishwa kwa mfumo wa digitali, sasa tv nyingi za zamani hazina uwezo wa kusoma signal hizo. zinaweza kusoma signal za alanogy. Hivyo basi itakubidi uwe na kifaa cha kubadili digital signal to analogy signal ili tv yako iweze kusoma, au uwe na tv za kisasa ambazo zinauwezo wa kusoma digita signal.
   
 7. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #7
  Aug 25, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  wenye recever na madish yao wataendelea ila kama utaona mfumo wa kutumia ving'amuzi vya digital ni mzur zaid waweza jiunga isipokuwa nje ya hapo bila dish utahitajika nunua king'amuz cha digital c bei sana tbc wanauza 38 ni bei ya chin wengine wana bei zaid. Kuna swali tena?
   
 8. a

  axel fowly Senior Member

  #8
  Aug 25, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu mimi na swali hapo umesema hizi tv za chogo hazi wezi ku convert analog to digital na je ikifika huo mda na ukawa unatumia na dishi sio kingamuzi je zitaonyesha au nayo ukitaka kutumia dish mpaka ununue tv za digital
   
 9. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #9
  Aug 26, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  mkuu, whatever TV you own, unachohitaji ni king'amuzi. Unless kama utaamua kutafuta TV yenye built in king'amuzi, ambayo so far nafahamu star times ndo wanazo. Ila kama hutaki star times, huna haja na hiyo TV yao. Maana kuna Easy TV, TING, Zuku, DsTV, ama FTA Decoders. Usiitupe chogo yako, bado inalipa.
   
 10. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #10
  Aug 26, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  hapana tv zote hata chogo zinaendana na dish pamoja na digital ya kutumia king'amuz kwahyo maamuz ni yako isipokuwa kuna tv model mpya aina ya flat zimekuwa convected na zimerahisishwa kwenda digital sasa hzo nazo zinautaratibu wake kwasabu unaweza ukanunua flat bila kujua kuwa ni ya mfumo wa zamani afu ukawa sawa na wenye tv za chogo. Kwahyo hata baada ya mda kufika chogo na dishi vyote vitaendelea.
   
 11. gody

  gody JF-Expert Member

  #11
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 1,227
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Sina shida na mtu naenda kuongeza dvd player mpya na ya ukwel Then nanunua cd's za kutosha hapo ni bandika bandua nikita habari nokia yangu popote nalog in jf hapa ni zaid ya habari! Kaz kwisha!

  yaan nch zilizo endelea zenyewe zimesema dgital 2015, nchi yenyewe hii maskin ijisogeze iseme 2012 kwann hasa kipya!!
   
Loading...