Kuna taarifa kuwamfumo wa NHS umeingiliwa na hackers na wanahitaji fedha kuufungulia.
Tanzania tumeanza mchakato wa kuingia kwenye mfumo wa taarifa za afya kielectroniki je tumejiaandaaje?Source:Trending news on twitter
Tanzania sio kama inajiandaa inautumia tayari huo mfumo, unaitea DHIS, inategemea unatumika katika level gani wilaya, mkoa au Taifa!!Kuna taarifa kuwamfumo wa NHS umeingiliwa na hackers na wanahitaji fedha kuufungulia.
Tanzania tumeanza mchakato wa kuingia kwenye mfumo wa taarifa za afya kielectroniki je tumejiaandaaje?Source:Trending news on twitter
Si kweli mkuu, DHIS2 kwa Tanzania inatumika kukusanya data za mafungu (Aggregared), ingawa ni kweli inaweza kukusanya taarifa binafsi za mtu (Tracker). Kwenye swala la bima mfumo pekee ni ule wenye kukusanya taarifa binafsi (personal infomation)... Kwa nchi za wenzetu personalinformation ni kitu sensitive sana na ndioaana hackers wanadai pesa, kwa kua wanakua serikali yao imeshapanic (Ni jambo kubwa).Tanzania sio kama inajiandaa inautumia tayari huo mfumo, unaitea DHIS, inategemea unatumika katika level gani wilaya, mkoa au Taifa!!
Wafungue mfumo mwingine.
Yah kwa upande huo pia mkuu nakuunga mkonoSi kweli mkuu, DHIS2 kwa Tanzania inatumika kukusanya data za mafungu (Aggregared), ingawa ni kweli inaweza kukusanya taarifa binafsi za mtu (Tracker). Kwenye swala la bima mfumo pekee ni ule wenye kukusanya taarifa binafsi (personal infomation)... Kwa nchi za wenzetu personalinformation ni kitu sensitive sana na ndioaana hackers wanadai pesa, kwa kua wanakua serikali yao imeshapanic (Ni jambo kubwa).
Kuhusu swala la security za kimtandao, bado tupo nyuma sana. Na uelewa ni mdogo, ingawa naamini tuna watu vichwa katika security... Ila system yoyote ambayo ni online ina sehemu tatu muhimu za kuilinda.
1.Data at rest (server - hapa ni tatizo, server nyingi ambazo tunahost ndani ya wizara au nchini tuna tatizo na configuration za kuilinda server, haitoshi kusema una Firewall ambazo configuration yake ni basic tu),
2. Data at transit, hii ni sehemu ya mujimu wengi wanatia https badala ya http ila wapo wanaotumia http (httpS - S stand for secured)
3) End use security - Hapa ni tatizo kidogo.
Kwa hiyo bado naamini tumahotaji kujipanga kwenye issue mzima ya security. Kumbuka system yoyote duniani inaweza kuwa hacked ni swala la kuwekeza pesa na muda tu (nyingine unaweza tumia hata miaka 10 unatafuta loop hole (vulnarability) na usifanikiwe
Kuna taarifa kuwamfumo wa NHS umeingiliwa na hackers na wanahitaji fedha kuufungulia.
Tanzania tumeanza mchakato wa kuingia kwenye mfumo wa taarifa za afya kielectroniki je tumejiaandaaje?Source:Trending news on twitter
Kuna kitu inaitwa TZ-CERT, nenda tcra.go.tz upate habari zaidi.
Ni rahisi kaka, maana najua wana backup na kila kitu... Tatizo ni zile personal information. Hizi ndio zitaleta kelele... Taarifa za watu kwa nchi iliyoendelea ni muhimu katika aspect zote 3 za security (Secret, confidential, privacy). Ikishindwa serikali na hilo ni issue kubwa, huwezi kuibuka ukawapa watu majibu rahisi !! Reaction ya wananchi itakua kubwa
Hii habari soma vizuri Kuna virus anaitwa ransomware yeye anachofanya ni kufunga ma file yako au screen ya computer yako na kukunyima fursa ya Ku access file zako hadi umlipe ila kwa uwezi wa uingereza Hakuna tishio maana Wana backup system za kutosha watamzuia tu wala achukii taarifa anachofanya ni kutunga data zakoKuna taarifa kuwamfumo wa NHS umeingiliwa na hackers na wanahitaji fedha kuufungulia.
Tanzania tumeanza mchakato wa kuingia kwenye mfumo wa taarifa za afya kielectroniki je tumejiaandaaje?Source:Trending news on twitter
Ahsante Mkuu, kikawaida umapokuwa na sensitive data kama hizi watu wanakuwa na backup sehemuzaidi ya moja nje ya pale ambapo Server zako zipo... Wanaita off site backup...Kama wameweza ku hack hiyo system, je si watatumia mbinu ileile ku hack hiyo back up, au tayari watakuwa wamejua ni wapi kulikuwa na weakness wakafunga, ningependa kuelewa zaidi hapa
Kuna kitu inaitwa TZ-CERT, nenda tcra.go.tz upate habari zaidi.