Mfumo ule ule unataka kurudi kupitia UKAWA!

Walishindwaje kuwatumikia wananchi miaka 12 iliyopoita halafu waweze leo?

Wasingeweza kuleta mabadiliko ilihal mwenyekiti wenu hatak mabadiliko ndiyo maana wameamua kumkimbia! miaka 10 ya kuliongoza taifa hl kazid kuliuwa
 
Kwa hiyo kwako wewe mfumo maana yake ni sura za watu, majina yao au nini??

Unachekesha.

Sumaye alikuwa ni PM

Lowassa alikuwa ni PM.

Ukawa tulikuwa tunauchukia mfumo wa serikali ya ccm...ambapo ukimtaja mtendaji mkuu unamuongelea waziri mkuu.

Ule ukombozi dhidi ya mfumo ndio huu??
 
Wasingeweza kuleta mabadiliko ilihal mwenyekiti wenu hatak mabadiliko ndiyo maana wameamua kumkimbia! miaka 10 ya kuliongoza taifa hl kazid kuliuwa
Sumaye mwenyekiti wake alikuwa Mkapa kwa miaka 10
 
Ukijumlisha idadi ya kashfa za kifisadi chini ya uongozi wao utagundua ninachosema

Oooh! Sema vizuri TUWAPIGE CHINI AKINA NANI? Ccm na Magufuli? Au UKAWA na Lowasa? au Woote nchi ibaki kwa jeshi?
 
Mtu unajiita meningitis..nlijua utakua vyema kichwani kumbe wapi..mfumo ndo wakuuvunja na kinachofanyika ni kuutia misuko suko mfumo ili uvunjike..kwanzia leo utaanza kusikia ufisadi wa sumaye kutoka kwenu maana ndo zenu

Nitaheshimu uwezo wa chadema kufikia hapa lakini ni kosa kubwa kuurejesha mfumo ule ule tulioupinga halafu tuamini tumeleta mabadiliko.

Huu ni uroho wa madaraka tu hakuna nia ya dhati ya kumkomboa mwananchi.Shame!!
 
Nipenda timing ya UKAWA siku moja tu kabla CCM kuzindua kampeni UKAWA inatembeza kichapo. UKAWA is the greatest,float like a butterfly sting like a bee.
 
CCM ife kwanza...
 
Nitaheshimu uwezo wa chadema kufikia hapa lakini ni kosa kubwa kuurejesha mfumo ule ule tulioupinga halafu tuamini tumeleta mabadiliko.

Huu ni uroho wa madaraka tu hakuna nia ya dhati ya kumkomboa mwananchi.Shame!!
Tibu kwanza huo ugonjwa unaoutumia kama id ndiyo uje hapa pambaf wewe
 
Kabisa! Na wanajua kucheza na akili za watanzania, just tell them what they want to hear utamaliza kila kitu.

Acheni kupika majungu someni alama za nyakati tengenezeni chama.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…