sual ni kuishi kitakatifu kwa mujibu wa maagizo ya Mwenyezi Mungu.....
mkate wa kila siku upi ambao mumeo hauleti?
mkifuata mafudisho ya Mungu hamtakaa kutalikiwa na kuitwa majina mabaya ya kidhalili.......
Mwanaume atakuwa kichwa cha familia siku zote, vitabu vyote vya dini vimesema unless mfuate tamaduni za kimagharibu.
Wanawake na wanyamaze katika kanisa maana hawana ruhusa kunena bali watii kama vile inenavyo Torati nayo. Nao wakitaka kujifunza neno lolote, nawawaulize waume zao wenyewe nyumbani mwao, maana ni aibu wanawake kunena katika kanisa.(1 Wakorintho 14:34-35).
Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha wala kumtawala mwanamume, bali awe katika utulivu. (1 Timotheo 2:12)
mwanaume kaumbwa amtawale vema mwanamke.....sio kum piga wala kumnyanyasa.....kutoka kazini na kufika nyumbani kumpikia mumeo,kudeki,kufua sio unyanyasaji......
mwanamke na akae nyumbhani kulea watoto sio kila siku semina haziishi hyatt hotel......unyanyasaji mnaosemema nyie ni majukumu yenu ambayo sasa hivi hamyataki kabisa......mko busy sana......mnasahau waume zenu ambao ndio maboss wenu duniani hapa......
mwanamke hapa duniani mumewe ni kama mungu wake...ndio anaemuongoza kwenye kila kitu......
wapendeni waumje zenu kama waume zenu wanavyowapendeni.......pia someni biblia na kuran mpate uelewa wenye hekima
Nina Mungu mmoja TU, mwanaume ni binadamu mwenzangu bwana...
Nitakuwa chizi kumtukuza kiumbe mwenzangu!!..NEVER!!
Nina Mungu mmoja TU, mwanaume ni binadamu mwenzangu bwana...
Nitakuwa chizi kumtukuza kiumbe mwenzangu!!..NEVER!!
Mh! Never say never my dearest! Hata hivyo napata shida ninapotaka kubishana na mwanamke, nimesoma comments zenu wote, wanawake hawajajibu kwa kutumia busara zaidi ya kujisifia wana elimu na pesa, hiyo ndiyo picha halisi ya ndoa zao zilivyo. Nadhani SIO KILA MAHUSIANO YANATAKIWA KUISHIA NDOA MENGINE NI YA KUJIFUNZIA. Wanawake endelezeni moto huo huo tujenge jamii ya mahayawani. After all wanasema wanawake waliokulia kwa single parent especialy mama huwa wanakuwa na visirani visivyo na sababu kwa wanaume, i can smell them in here! Kubali ukweli na badilikeni.

Its easier to be CRITICAL than to be CORRECT, Hapo kwenye bold si kweli..na kama wewe unabusara utaapologize kwa kusema wanawake hatujatumia busara..may be some lakini si wote.Na kuhusu kujenga jamii ya mahayawani (God forbid) kujenga jamii ni jukumu la wote si la mwanamke pekee..jamani hii dunia tunakaa wote na imeharibika kwa sababu ya matendo maovu yetu wote wanawake na wanaume. Wote pamoja na wewe Bondpost tukubali ukweli na tubadilike na jamii itakuwa bora.
Tarajia kuniona siombi msamaha katika niliyoyasema, na nitayasimamia thabiti kwani huo ndio mtizamo wangu. Mie mke wangu namuheshimu sana tena hadi namuita malkia, huko sio kumtukuza? Mbona haoti mapembe? Ni mapenzi tu. Unamnyenyekea bosi wako ushindwe kwa mume? That is a point i was making. Kumbuka divorce zinachangia watoto wasio na malezi bora ukiangalia American black community imeathirika sana na suala la watoto kuharibikiwa na kuishia kwenye drugs na jela. Najua family inajengwa na wote thats why nikatoa jukumu kwa wanawake kujenga family kwani thread hii ilitaka tuongele yote hasa upande wa mwanamke. Unajua sio lazima ukiwa mwanamke, basi utetee kila jambo linalohusu mwanamke. Its not a fight rather we are trying to shape our society!
Alas if I argue with you! and I do not expect you to apologize. I do not support everything that women do neither do I criticize everything men do, in marriage both spouse need to reflect how they treat each other and learn to make improvements continuously. My point still stands that both men and women are responsible for the better and worse of our society today, calling your wife sweet names is good but being there for her is best.