Mfumo jike una cost ndoa nyingi

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
Wanawake wa siku hizi mfumo jike unafanya wawe na viburi na kujifanya juu ya wanaume.....wakishajiona wamesoma,wana mali basi kibri zinawajaa....lakini wakumbuke sio Mpango wa MUNGU wanawake wawe juu ya wanaume....MUNGU toka mwanzo ameagiza mwanamke atawaliwe na mwanaume.....

Na afuate maagizo ya mwanaume na si vinginevyo...kinyume chake kwa sasa tunaona wanawake wanavunja ndoa zao wakidai wanataka uhuru wao......hizi haki zao sijui zinawafanya wawe na kibri.....

Wanawake na wanyamaze katika kanisa maana hawana ruhusa kunena bali watii kama vile inenavyo Torati nayo. Nao wakitaka kujifunza neno lolote, nawawaulize waume zao wenyewe nyumbani mwao, maana ni aibu wanawake kunena katika kanisa.(1 Wakorintho 14:34-35).

Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha wala kumtawala mwanamume, bali awe katika utulivu. (1 Timotheo 2:12)

nawashauri wanawake wenye kibri kwa waume zao waache maana fimbo ya mwenyezxi MUNGU itawapiga.......
 
Yo Yo
kwa hilo samahani sana mkuu wanawake tumekandamizwa vya kutosha , sasa na sisi tunasimama kidedea.
 
Last edited by a moderator:
Yo Yo vipi...?...na wewe umeshakuwa bongolala....? huishi chit chat siku hizi....kulikoni....?
 
Hayo mambo alikuwepo kipindi cha Zamani lakini hiki cha kizazi cha sasa.Wanamke na Mwanaume nikitu kimoja katika kutoa maamuzi(haki sawa kwa Kila binadamu)
 
Yo Yo
kwa hilo samahani sana mkuu wanawake tumekandamizwa vya kutosha , sasa na sisi tunasimama kidedea.
Nyie wanaume mnafuata mpango wa Mungu?
mwanaume kaumbwa amtawale vema mwanamke.....sio kum piga wala kumnyanyasa.....kutoka kazini na kufika nyumbani kumpikia mumeo,kudeki,kufua sio unyanyasaji......

mwanamke na akae nyumbhani kulea watoto sio kila siku semina haziishi hyatt hotel......unyanyasaji mnaosemema nyie ni majukumu yenu ambayo sasa hivi hamyataki kabisa......mko busy sana......mnasahau waume zenu ambao ndio maboss wenu duniani hapa......

mwanamke hapa duniani mumewe ni kama mungu wake...ndio anaemuongoza kwenye kila kitu......

wapendeni waumje zenu kama waume zenu wanavyowapendeni.......pia someni biblia na kuran mpate uelewa wenye hekima
 
Yo Yo vipi...?...na wewe umeshakuwa bongolala....? huishi chit chat siku hizi....kulikoni....?
ukitaka kuwabadilisha watu kaa nao kwanza.....mtabadilika tu......

changia mada plz
 
Yo Yo vipi...?...na wewe umeshakuwa bongolala....? huishi chit chat siku hizi....kulikoni....?

Kwi kwi kwi....umenikumbusha thread ya Yo Yo aliyotuita bongolala....ubinadamu kazi kweli kweli.
 
Lizzy umeona huo mstari?

Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha wala kumtawala mwanamume, bali awe katika utulivu. (1 Timotheo 2:12)

Yani ni kaaazi kweli kweli. Ila wenyewe wanaomba kufundishwa na wanawake, sasa sijui tukatae?
 
Last edited by a moderator:
mwanaume kaumbwa amtawale vema mwanamke.....sio kum piga wala kumnyanyasa.....kutoka kazini na kufika nyumbani kumpikia mumeo,kudeki,kufua sio unyanyasaji......

mwanamke na akae nyumbhani kulea watoto sio kila siku semina haziishi hyatt hotel......unyanyasaji mnaosemema nyie ni majukumu yenu ambayo sasa hivi hamyataki kabisa......mko busy sana......mnasahau waume zenu ambao ndio maboss wenu duniani hapa......

mwanamke hapa duniani mumewe ni kama mungu wake...ndio anaemuongoza kwenye kila kitu......

wapendeni waumje zenu kama waume zenu wanavyowapendeni.......pia someni biblia na kuran mpate uelewa wenye hekima

Sasa wakae nyumbani na kulea wakati jukumu lenu la kuleta mkate hamliwezi mpaka msaidiwe?

Kama ukitaka kuishi kwa kufuata vifungu vya biblia, unatakiwa uviishi haswa na sio unachagua vile vinavyoku-favor wewe bila kuangalia upande wa pili.
 
Ushauri wa bure; mnaonaje mkioana wenyewe kwa wenyewe ili ndoa zenu zidumu?
Mfumo jike is here to stay!
 
Hizi sera za kimagharibi zimeiharibu sana hii dunia hadi kufikia kuenenda kinyume na maagizo yake Muumba. Mungu na atunusuru NA JANGA HILI. Kwa upande mwingine, mfumo huu unajengeka kutegemenana na msingi wa mahusiano kati ya wanandoa ulikuwaje. Hapa namaanisha wakati mnaanza mahusiano yenu mlikuwa na ulinganifu wa mawazo yenu yaani kila mmoja alimpa nafasi mwenzake ya kueleza mawazo yake? Tofauti na hapo ndo mwisho wa siku utakuta mambo haya yanajitokeza na kusababisha wanadamu kuenenda kinyume na mapenzi ya Mungu
 
Huyo Timotheo si mwanaume ulitegemea aandike nini kama sio kujipendelea mwenyewe, na wewe unazidi kujipendelea tu
 
Huyo Timotheo si mwanaume ulitegemea aandike nini kama sio kujipendelea mwenyewe, na wewe unazidi kujipendelea tu

Nadhani wewe utakua na mtazamo kama wa Kiranga!Huamini kama so colled vitabu vya Mungu ni vya Mungu!
 
Back
Top Bottom