Kaunga,nakuheshimu sana,comment hii haiendani kabisa na reputation yako hapa jf,matusi si lazima uandike maneno ya matusi!
Najihisi umenitukana Kaunga!can u please apologize at least to me,who asks for your apology?if not to all men!
Iam the boss of my own..........nobody including mume can take control of me. Kichwa changu ndio serikali yangu......NOTE BETTER!
Mume ni kama mwenza tu....kwahivo tutaongozana kwenye kila kitu!
Hence...there is no any exception, however the option is, whether you take it or else....CHAPA LAPA, full stop!!!!! Mmetesa sana mama zetu nyie kwa kisingizio cha mfumo dume na mpango wa mungu.
FYI; yaaani ndo kwanzaaa kunakucha.....jipangeni upya!!
so true.... 'enzi za timotheo' mwanamke < mwanaume maana hawakuwa na elimu/kipato/nyumba au njia yoyote ya kujikimu bila mume, ni lazima watii kila jambo bila ubishi. Sasa hivi wanawake wasomi wapo na wanaweza kujikimu kama wanaume so hawataki kusikia kwamba ke<me. Wanaume waliopitwa na wakati wanaona hii hali ya sasa hivi ni 'kiburi' cha wanawake,Kwa mujibu wa hii siredi watu wanayatazama maandiko kama yamepitwa na wakati vile!
Mc Tilly
Nimependa option no 3, ya kupokezana ukuu wa familia democratically! LOL
I do apologize to you Mc Tilly na wale wote wanaowarespect wanawake na kushirikiana nao katika kutengeneza familia yenye upendo na heshima!
By the way sijasoma mchango wako, nikukuta uko tofauti nita UNDO my apology to u!
Kuoa mwanamke mwenye elimu ni janga kwenye ndoa na taifa.
Ushauri wa bure; mnaonaje mkioana wenyewe kwa wenyewe ili ndoa zenu zidumu?
Mfumo jike is here to stay!
Iam the boss of my own..........nobody including mume can take control of me. Kichwa changu ndio serikali yangu......NOTE BETTER!
Mume ni kama mwenza tu....kwahivo tutaongozana kwenye kila kitu!
Hence...there is no any exception, however the option is, whether you take it or else....CHAPA LAPA, full stop!!!!! Mmetesa sana mama zetu nyie kwa kisingizio cha mfumo dume na mpango wa mungu.
FYI; yaaani ndo kwanzaaa kunakucha.....jipangeni upya!!
Ushauri wa bure; mnaonaje mkioana wenyewe kwa wenyewe ili ndoa zenu zidumu?
Mfumo jike is here to stay!
ajabu mno humu ndani
kwa kuwa kuna wanaume wanatesa wanawake basi wanawake sasa wako out for revenge...
hata kama hakuna ,ateso
wao ni kudai usawa kwa kila kitu hata wasivyostahili..........
as if two wrongs make it right na mapenzi sasa ni eye for an eye
mengi tu
huyaoni?
sual ni kuishi kitakatifu kwa mujibu wa maagizo ya Mwenyezi Mungu.....Sasa wakae nyumbani na kulea wakati jukumu lenu la kuleta mkate hamliwezi mpaka msaidiwe?
Kama ukitaka kuishi kwa kufuata vifungu vya biblia, unatakiwa uviishi haswa na sio unachagua vile vinavyoku-favor wewe bila kuangalia upande wa pili.