Mfugo au mdoli?

Mfugo au mdoli?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,120
1421654058696.jpg
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaah, sijui kwa nini huwa nikimuona fisi namcheka
 
Mmmh naweza kujaribu vyote lakini nyama ya fisi lol! Hapana aisee

Sijui unaanzaje kuila..du!....ila mambo huwa yanaanza taratibu hivihivi mpaka tunayazoea...na tulivyowanjaza wachina nchi hii si ajabu mijusi, vyura, nyoka vikaanza kuwa nyama choma.....
 
Sijui unaanzaje kuila..du!....ila mambo huwa yanaanza taratibu hivihivi mpaka tunayazoea...na tulivyowanjaza wachina nchi hii si ajabu mijusi, vyura, nyoka vikaanza kuwa nyama choma.....

Vya kichinachina nimevila sana ila fisi sithubutu nyamchele kweli kabisa nakuambia
 
Last edited by a moderator:
nasikia wanatumiwa sana katika safari na wazee wagiza...
 
Back
Top Bottom