anna mwakaringa
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 351
- 75
Nenda Amri Kumi guest house. Full ibada hiyo.
Lohhhh nimecheka sana jamani!!!!
Nenda Amri Kumi guest house. Full ibada hiyo.
Nenda Amri Kumi guest house. Full ibada hiyo.
unamaanisha ile ya TEN COMMANDMENTS
Fika penge hotel ipo krb na mfikemo
Ni forrest ya zaman krb na mbeya carnival ful amani
fikia MKULO mkuu, ipo soweto pale
HILL VIEW hotel ndo habari ya mujini kwa sasa! ipo uzunguni karibu kabsa na nyumbani kwa mkuu wa mkoa.
nenda MATAMBA stand kuu.
mkulu, paradise au GR hizo zipo barabarani kabisaa
Matamba na wasukuma wote wa chunya ustaarabu zero, maeneo ya stand kuu kuna new millennium iko poa tu
Nenda Amri Kumi guest house. Full ibada hiyo.
Nenda beaco full utulivu
nenda soweto paradise hotel
Hill View ni nzuri, lakini haina vitu vikali. Midondoko ya pale naiona ni kawaida sana, labda for normal human consumption. Pale soweto kuna GR Hotel vyumba vinaanzia 35 na kuendelea. Midondoko ipo lakini nayo ni ya kawaida sana. Karibu na GR Hotel kuna moja inaitwa Paradise hapo hapo soweto, sema hapo vyumba vyao vinaanzia elfu 80, lakin cha kushangaza TV ni zile zenye CHOGO. Ila kuna kitu kimoja kikali pale, sema Boss wangu naye alikuwa anataka, sasa nikaona ngoja nijiweke pembeni kuepusha msongamano, yanini malumbano!Hill View hotel IPO Uzunguni ni nzuri sana
Wadau niko njiani kuelekea jijini Mbeya. Sijui nifikie hotel gani yenye usalama kwani katika kuulizia nimeelekezwa Mfikemo hotel iliyopo Mwanjelwa.
Je, ni kweli iko kwenye mitaa salama?
umebeba sweta?? sio unakuja huku una anza kutusumbua
hata sijui kama ataweza kuchagua...au atakuwa confused!!
umebeba sweta?? sio unakuja huku una anza kutusumbua