Mfikemo Hotel Mbeya

Mfikemo Hotel Mbeya

kamojatu

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2013
Posts
723
Reaction score
689
Wadau niko njiani kuelekea jijini Mbeya. Sijui nifikie hotel gani yenye usalama kwani katika kuulizia nimeelekezwa Mfikemo hotel iliyopo Mwanjelwa.

Je, ni kweli iko kwenye mitaa salama?
 
Fika penge hotel ipo krb na mfikemo
Ni forrest ya zaman krb na mbeya carnival ful amani
 
Waliyopo mbeya hivi eland hotel bado ipo?
 
Asante mkuu Happycuit nitapatembelea. Kwa hiyo mfikemo nisiende?
 
Last edited by a moderator:
nenda penge hotel,mfikemo nzuri ila maeneo ilipojengwa ndo vizazi vya vibaka mwanjelwa
 
ilishaga uzwa tokea mwaka 2005, ilinunuliwa na Teofilo Kisanji University

A yaaaa nlikuwa napakubali sana, ilikuwa nkitokaga maoni wakati tunarudi lzma tupitie,ilikuwa ni maeneo ya blok t hayo.
 
nenda penge hotel,mfikemo nzuri ila maeneo ilipojengwa ndo vizazi vya vibaka mwanjelwa

Bado mwanjelwwa kuna vibaka ila mbeya siku hizi Pana ustarabu zamani ni u babe tu
 
HILL VIEW hotel ndo habari ya mujini kwa sasa! ipo uzunguni karibu kabsa na nyumbani kwa mkuu wa mkoa.
 
Back
Top Bottom