Mficha uchi 'hazai'

hivi wana JF hii misemo yetu ya 'kimatumbi'

m.f 'mficha uchi hazai' inamaana kweli hasa katika kizazi cha sasa?

Mbona watu wengi (hasa -she-) wanatembea huku 'nyuchi' zao zikiwa 'bwerere'????? Mbona tunawaona wakiwa watupu lakini wengi wao hawajazaa?

Je, tuendelee kuamini misemo kama hii?
kuficha uchi walipopazungumzia wahenga sio huko unapopajua wewe,usilete utoto huku,kama unataka kujua juu ya kilichozungumziwa mtafute kungwi akupeleke mkoleni ukale darasa kule!!
 
asante
 
hivi wana JF hii misemo yetu ya 'kimatumbi'

m.f 'mficha uchi hazai' inamaana kweli hasa katika kizazi cha sasa?

Mbona watu wengi (hasa -she-) wanatembea huku 'nyuchi' zao zikiwa 'bwerere'????? Mbona tunawaona wakiwa watupu lakini wengi wao hawajazaa?

Je, tuendelee kuamini misemo kama hii?

na wewe JP unakuwa kama si mjuvi wa kiswahili fasaha
aliyetunga methari hii hakuwa na maana ya vile unavyodhani wewe
 
hivi wana JF hii misemo yetu ya 'kimatumbi'

m.f 'mficha uchi hazai' inamaana kweli hasa katika kizazi cha sasa?

Mbona watu wengi (hasa -she-) wanatembea huku 'nyuchi' zao zikiwa 'bwerere'????? Mbona tunawaona wakiwa watupu lakini wengi wao hawajazaa?

Je, tuendelee kuamini misemo kama hii?

Swali lako liko logically inconsistent.

Methali inaongelea mficha uchi, wewe unaongelea asiyeficha uchi, tofauti.

Kama unataka ku contradict "mficha uchi hazai" tuonyeshe mficha uchi aliyezaa.

Pia, kuambiwa "mficha uchi hazai" si sawa na "kila asiyeficha uchi atazaa".

Zaidi ya hapo, usizichukulie hizi methali too literary, si rules.Methali ni nzuri kama unajua wapi uiapply ipi.Kwa sababu zingekuwa rules basi kila siku tungekuwa tunashindwa kuamua kwa sababu methali zimejaa contradictions.Moja itakwambia "Ngoja ngoja yaumiza matumbo" wakati nyingine itakwambia "Haraka haraka haina baraka". Zote ziko sawa, inategemea wakati. Wakati wa kutaka kuwahi utatumia "Ngoja ngoja huumiza matumbo" na wakati wa kutaka subra utatumia "Haraka haraka haina baraka".

Mficha uchi hazai ina maana kubwa tu, kwamba kila kitu kina requirements zake, na ingawa jadi yetu ina staha kubwa, lakini ikifika katika swala la kutaka kuzaa (all other things remaining constant) inabidi haya, staha na jadi hizi ziwekwe kando na mtu asalule.

Mficha uchi hazai inafanana na "mtaka cha uvunguni sharti ainame". kila kitu kina requirements zake na usipotimiza hukipati.
 
Asante kwa mchango wako!
 
sawa kabisa...maana hata hapo ulipokuwa unaamini kwamba mficha uchi azai, walikuwa wanaficha na wanazaa...inategemea huo uchi ulifichwa kwa nani na kuonyeshwa kwa nani...
 
makubwa haya madogo yanawenyewe!
 
swali lako liko logically inconsistent.

Methali inaongelea mficha uchi, wewe unaongelea asiyeficha uchi, tofauti.

Kama unataka ku contradict "mficha uchi hazai" tuonyeshe mficha uchi aliyezaa.

Pia, kuambiwa "mficha uchi hazai" si sawa na "kila asiyeficha uchi atazaa".

Zaidi ya hapo, usizichukulie hizi methali too literary, si rules.methali ni nzuri kama unajua wapi uiapply ipi.kwa sababu zingekuwa rules basi kila siku tungekuwa tunashindwa kuamua kwa sababu methali zimejaa contradictions.moja itakwambia "ngoja ngoja yaumiza matumbo" wakati nyingine itakwambia "haraka haraka haina baraka". Zote ziko sawa, inategemea wakati. Wakati wa kutaka kuwahi utatumia "ngoja ngoja huumiza matumbo" na wakati wa kutaka subra utatumia "haraka haraka haina baraka".

Mficha uchi hazai ina maana kubwa tu, kwamba kila kitu kina requirements zake, na ingawa jadi yetu ina staha kubwa, lakini ikifika katika swala la kutaka kuzaa (all other things remaining constant) inabidi haya, staha na jadi hizi ziwekwe kando na mtu asalule.

Mficha uchi hazai inafanana na "mtaka cha uvunguni sharti ainame". Kila kitu kina requirements zake na usipotimiza hukipati.

well said.
 
Back
Top Bottom