charrote
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 1,989
- 4,408
nyuzi zipo nyingi balaa
Slogan ya uzi na picha sasa hivi inatendewa haki
nyuzi zipo nyingi balaa
bora ili tuoneSlogan ya uzi na picha sasa hivi inatendewa haki
Dogo si useme tu kuwa mwenye tatizo ni wewe! Hivi pumbu za mtu mwingine umezitoa wapi hadi ukazipost humu?Jamani kwema wapendwa
Msaada kuna mtu anaumwa ametoka kipele ambacho kimetokea kidonda kwenye "naniuu" kwa chini then anasema kinakuwa kama kinawasha hivi. Itakuwa ugonjwa gani? Na atumie dawa gani? View attachment 2636406