julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
makubwa!!!!!!!!1
hapana sio mimi........huyu mjamaa anapenda sifa sana
Dada heaven sio muhaya kweli huyu jamaaa?
makubwa!!!!!!!!1
Jamiiforums(Mmu) yatosha!
mabwaku!!!!!!!!!!!!!!
True say, yatosha kote huko sjui instagram bookface kwanin??
Aiseer soko linatafutwa kwanguvu...nimekwenda kumchungulia huko insta jamaa anapost picha HAKUNA HT MMOJA ANAYECOMMENT kwa pcha zake....Hhahaha so kaja humu ili mkamuunge mkono....pamoja kujiwekea nembo ya diamond lkn waaaapiiiii
A do my thingz..sijawahi jari what people talk bout me n my life...................
Hahahaha....huyu jamaa ni mpiga picha wa Diamond. Kwa vile Diamond ni superstar naye tayari keshajiona superstar!!!!Soggy dogy aliwahi kuimba wimbo unaitwa mimi sio supastaa kuna line anasema hadi demu wa dj naye anajiona supastaa!!
Hahahaha nimechela kama mazuri vileee.
Uwiii.
Hahahaha....huyu jamaa ni mpiga picha wa Diamond. Kwa vile Diamond ni superstar naye tayari keshajiona superstar!!!!
Cheka kwa step usije ukakata watu mbele ya shanga....!
mkuu umtinda nyusi?. mia