kwani huyo mohamed ni hiousegrl wako au anafanya kazi wapi mpwabadilisha heading from
Swissport wafanya wizi mkubwa airpot
na kuwa
MOHAMED AFANYA WIZI MKUBWA AIRPPORT..............
kwani huyo mohamed ni hiousegrl wako au anafanya kazi wapi mpwa
mohd anakitambulisho cha swissport, uniform ya swissport na anapofanya kazi kuna msimamizi ramp supervisor,na ma DO(duty officers) acha watu wa usalama security huwezi kutoka na mzigo ramp bila hao watu kujua utapita nao wapi? wezi hapo ni SWISSPORTheading imekaa kishabiki (kigazeti gazeti)......thats y nikashaur abadilishe.......unaruhusiwa kuiaccuse kampuni au taasisi kwa wizi kama heading ya mtoa mada inavyojieleza pale ambapo wizi umefanywa on due course of work na umehusisha top officials (figure heads) za kampuni/taasisi husika........ingekuwa ukienda swissport, mhudumu akakuibia simu yako, then ukasema swissport imekuibia simu, sidhan kama akili zako zitakuwa sawasawa......umenielewa shangazi??
Hawa jamaa sina hamu nao kabisa wanaiba sana wanathubutu hata kufungua begi lako na kuta kilichoko ndani. poor management.
badilisha heading from
Swissport wafanya wizi mkubwa airpot
na kuwa
MOHAMED AFANYA WIZI MKUBWA AIRPPORT..............
heading imekaa kishabiki (kigazeti gazeti)......thats y nikashaur abadilishe.......unaruhusiwa kuiaccuse kampuni au taasisi kwa wizi kama heading ya mtoa mada inavyojieleza pale ambapo wizi umefanywa on due course of work na umehusisha top officials (figure heads) za kampuni/taasisi husika........ingekuwa ukienda swissport, mhudumu akakuibia simu yako, then ukasema swissport imekuibia simu, sidhan kama akili zako zitakuwa sawasawa......umenielewa shangazi??
Kwa maana hiyo unataka kusema koplo wa polisi akiua akiwa na mavazi ya polisi na bunduki aliyopewa ofisini na akiwa katika kazi yake ya kipolisi huwezi Kusema Polisi Aua raia kisa sio senior officer?? Mpaka Rpc ndio ahusike ndio unaweza sema Polisi Aua??
Huyo Mohamed si ameiba akiwa ofisini kwake na kavaa uniform za swissport?? Na malalamiko wameenda kutoa swissport na hawakuwapa ushirikiano unajua sometimes UKILAZA wa mtu unamjua sio lazima umuone kwa sura hata kwa hoja zake anazochangia...