Mfanyakazi wa Salon ya kike anahitajika

Mfanyakazi wa Salon ya kike anahitajika

haki8

Member
Joined
Jun 7, 2016
Posts
26
Reaction score
35
Natafuta mfanyakazi Wa salon ya kike awe anaweza kusuka na kuset mitindo yote ya nywele na awe mkazi Wa Tabora mjini..

Mshahara ni 130000 kwa mwezi

Preferred Wa kiume mwenye uwezo Wa kusuka na kuset mitindo yote na mwepes Wa kujifunza style mpyaa
 
Salon yako inaitwaje na ipo sehem gan mkuu? NSSF na TRA wanashida na ww.
 
Nahitaji sana iyo kazi tatizo sina kigezo maana sipo tabora mm nipo moro sasa mediocrist
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom