Mfanyakazi wa ndani anapatikana Arusha

Mfanyakazi wa ndani anapatikana Arusha

ngaboru

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2016
Posts
2,117
Reaction score
5,537
Habari wakuu,
Kwa mtu yoyote anaehitaji mfanyakazi nipo tayari.
Kwa maelezo zaidi nakuomba PM.

Tafadhali naomba msomaji kama unamfahamu anaecconect watu na kazi.naomba nijulishe malipo mazuri yatatolewa.
Asante Sanaa.
Ngaboru.
 
Habari wakuu,
Mimi ni ke,
Kwa mtu yoyote anaehitaji mfanyakazi nipo tayari.
Najua english,compyuta,uzoefu wa kazi za sales,reservation,tour consultant.
Kwa maelezo zaidi nakuomba PM.

Tafadhali naomba msomaji kama unamfahamu anaecconect watu na kazi.naomba nijulishe malipo mazuri yatatolewa.
Asante Sanaa.
Ngaboru.
Unaposema malipo mazuri yatatolewa ni nani atatoa kumpa nani?
 
Back
Top Bottom