Mfanyakazi anahitajika

Mfanyakazi anahitajika

aisee... kwanini hujataka mfanyakazi wa kiume?

mwanamke akakate nyasi kweli na kuparangana ming'ombe?
 
Toka lini mwanamke wa kimasai akachunga ng'ombe?
kaka umevurugwa nn mfanyakazi wa kulisha ng'ombe halafu aje kuwa mke wako acha uhuni bana inaonekana ww ni mzee wa kabang wanaume mara nyingi ndio wachunga ng'ombe au we mmasai
 
Unatafuta mwanamke wa kukuchungia ng'ombe huku kwa watoto wa iphone na tablets??
 
Nimepata pm mmoja eti ananishaur tuuze ngombe tufungue salon ya nywele..sijamwelewa kabisa.saluni inalipaje?
 
Jamani mnielewe c anakuwa mkewangu inamana hata ngombe c zakwake.hyo nikipmo ya bidii yake nakm anafaa.ni inteview yangu
saaaaaaaaaaaaaafi sana hawa dada zetu wanataka kilicho tayari aje ajitanue kama chatu aliyemeza mbuzi...nyambafu!
huu ni mfano wa kuigwa.................na mimi kesho natangaza!
 
Mimi ni Ke nataka kukuajili uwe Dreva wangu nimechoka kuendesha gari mwenyewe tatizo baadhi ya wanaume mnadharau sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom