Mfanyabiashara wa Dar anamiliki 2/3 ya ardhi ya kijiji Morogoro

Habari wana bodi.
Hii ni habari katika Gazeti LA Uhuru kwamba,
Mfanyabiashara Jitu Patel wa Dar anamiliki hek. 1080 za ardhi katika kijiji cha Mvumi Moro na Kuacha kijiji kikibakiwa na umiliki wa hek.500 tu za ardhi!...

Nahisi huyu jamaa kama si jipu basi soon atawaletea maendeleo makubwa wanakijiji hao.
 
Wewe wa wapi? ninachukia mijitu inayojiona bora zaidi ya wengine.Hujachelewa endelea kujifunza ustaarabu wa kuamini binadamu wote si sawa.
Hilo la binadamu wote ni sawa ni nadharia ya kufarijiana tu, kamwe akili ya mk.w.ere na mchaga haziwezi kuwa sawa hasa ktk issue ya kupambana na umaskini. Mchaga yupo juu mno kwa akili
 
Tupunguze wivu sasa. Kama anahatimiliki zote za kuwa na hizo mali mtasemaje????

Nawe mleta maada hujakamilisha habari yako. unatudonolea ili tumuone huyo bepari anamakosa siyo??

Hawakumtafuta mmiliki wa shamba na kupata kujua ukweli ama mwandishi nae wivu wa Mkapa (KIKE) kama mleta maada?
 
Kuna vitu tunavishabikia kwa sasa lakini madhara yake tutayaona muda si mwingi. Mtu ana miliki shamba lake kihalali halafu tunaanza kumlalamikia utafikiri amepora.

Mashamba makubwa ndo yanayotakiwa na commercial farmers hawa wqnahitajika kutulisha sisi tuliokimvilia mijini kwani jembe la mkono halitaweza kutulisha watu wa mijini. Tanzania ni moja wapo ya nchi inayoongoza kwa kuwa na bei kubwa sana ya vyakula hii inatokana na uzalishaji mdogo. Ndugu zangu wasukuma ekalri moja inazalisha magunia matatu ya mahindi wakati ekari hiyo hiyo inatoa magunia 40 kwa wakulima wa huko afrika ya kusini na zimbabwe....
 
Mimi sioni shida kama ameuziwa na wananchi wenyewe.
Hii Tanzania yetu kama una hela unanunua chochote!
 
Jeetu Patel,MO Dewji wanamilik vijiji vyenye mpaka ekari 10000 huko pwani
 
Nadhani wangeilaumu Taasisi iliyotoa hizo hekari na serikali yake, na ndiko tunaenda,maana kule Mbalali Muwekezaji ndiye Mbunge na inasemekana siyo raia pia,sijui Sheria zetu zimeenda likizo?Au wenzetu waCCM haioni hii kama italeta shida kwenye jimbo?Je Mbunge huyu anayehodhi Mashamba ya Mpunga na ambayo yana mgogoro na wananchi wa Mbalali sina uhakika kama wananchi wa Mbalali watatendewa haki.
Huyo mbunge ni nani?
 
Back
Top Bottom