Mfanyabiashara wa Dar anamiliki 2/3 ya ardhi ya kijiji Morogoro

PROSPER 05

JF-Expert Member
Oct 14, 2013
226
217
Habari wana bodi.

Hii ni habari katika Gazeti LA Uhuru kwamba mfanyabiashara Jitu Patel wa Dar, anamiliki hek. 1080 za ardhi katika kijiji cha Mvumi Moro na Kuacha kijiji kikibakiwa na umiliki wa hek.500 tu za ardhi!...

Nahisi huyu jamaa kama si jipu basi soon atawaletea maendeleo makubwa wanakijiji hao.
 
Hili ni jipu kama ni hivo wanakijiji wanalima wapi na wengine saizi wanabomolewa majumba dar ukute wanaotoka kijiji ichoicho
 
Wenyewe tuliacha ujamaa tukakimbilia ubepari,
Kama anamiliki kisheria na matumizi sahihi yanafanyika mayowe ya nini?
 
watanzania ni viumbe wagumu sana kuishi nao hasa watu wa pwani (wazaramu/ndengereko/kwere), waluguru/pogoro, wamakonde pia KANDA YA KATI-DODOMA maana kwanza ni wavivu na wanapenda starehe
 
Habari wana bodi.
Hii ni habari katika Gazeti LA Uhuru kwamba,
Mfanyabiashara Jitu Patel wa Dar anamiliki hek. 1080 za ardhi katika kijiji cha Mvumi Moro na Kuacha kijiji kikibakiwa na umiliki wa hek.500 tu za ardhi!...

Nahisi huyu jamaa kama si jipu basi soon atawaletea maendeleo makubwa wanakijiji hao.
Mkuu kwanza nikupe hongera kwa kupata ujasili wa kulisoma hilo gazeti
 
watanzania ni viumbe wagumu sana kuishi nao hasa watu wa pwani (wazaramu/ndengereko/kwere), waluguru/pogoro, wamakonde pia KANDA YA KATI-DODOMA maana kwanza ni wavivu na wanapenda starehe
Hapo kwenye kwere hapo pana ulakini
 
Habari wana bodi.
Hii ni habari katika Gazeti LA Uhuru kwamba,
Mfanyabiashara Jitu Patel wa Dar anamiliki hek. 1080 za ardhi katika kijiji cha Mvumi Moro na Kuacha kijiji kikibakiwa na umiliki wa hek.500 tu za ardhi!...

Nahisi huyu jamaa kama si jipu basi soon atawaletea maendeleo makubwa wanakijiji hao.

Kama ni wanaijiji hao hao ndiyo waliomuuzia, na kamilikishwa kisheria tatizo ni nini?
 
Habari wana bodi.
Hii ni habari katika Gazeti LA Uhuru kwamba,
Mfanyabiashara Jitu Patel wa Dar anamiliki hek. 1080 za ardhi katika kijiji cha Mvumi Moro na Kuacha kijiji kikibakiwa na umiliki wa hek.500 tu za ardhi!...

Nahisi huyu jamaa kama si jipu basi soon atawaletea maendeleo makubwa wanakijiji hao.

Nadhani wangeilaumu Taasisi iliyotoa hizo hekari na serikali yake, na ndiko tunaenda,maana kule Mbalali Muwekezaji ndiye Mbunge na inasemekana siyo raia pia,sijui Sheria zetu zimeenda likizo?Au wenzetu waCCM haioni hii kama italeta shida kwenye jimbo?Je Mbunge huyu anayehodhi Mashamba ya Mpunga na ambayo yana mgogoro na wananchi wa Mbalali sina uhakika kama wananchi wa Mbalali watatendewa haki.
 
Hili ni jipu kama ni hivo wanakijiji wanalima wapi na wengine saizi wanabomolewa majumba dar ukute wanaotoka kijiji ichoicho
Hili suala ni historical punishment maana vijijini hatukupewa hati za kumiliki mashamba yetu bali tukaaminishwa kuwa umiliki wetu unapitia kwenye vijiji. Tukakimbia vijijini tukidhani mijini kuna maziwa na asali lakini tukaja kuishia mabondeni tena kwenye nyumba za kupanga. Leo tunafukuzwa mjini na pale wazo la kurudi kijijini linapokuja unakuta watendaji waka vijiji na kata ambao ndio wana mamlaka juu ya hizo ardhi wameshawamilikisha akina Jeetu Patel!
 
watanzania ni viumbe wagumu sana kuishi nao hasa watu wa pwani (wazaramu/ndengereko/kwere), waluguru/pogoro, wamakonde pia KANDA YA KATI-DODOMA maana kwanza ni wavivu na wanapenda starehe
Wewe wa wapi? ninachukia mijitu inayojiona bora zaidi ya wengine.Hujachelewa endelea kujifunza ustaarabu wa kuamini binadamu wote si sawa.
 
Hilo sham
Habari wana bodi.
Hii ni habari katika Gazeti LA Uhuru kwamba,
Mfanyabiashara Jitu Patel wa Dar anamiliki hek. 1080 za ardhi katika kijiji cha Mvumi Moro na Kuacha kijiji kikibakiwa na umiliki wa hek.500 tu za ardhi!...

Nahisi huyu jamaa kama si jipu basi soon atawaletea maendeleo makubwa wanakijiji hao.[/QUOTE
Hilo shamba jamaa amekuwa akilimiliki miaka mingi sanaa,nalifahamu liko kati ya msowero na mvumi

Ovaaaa
 
Back
Top Bottom