Mwingine anapenda alie juu ashushwe chini,yaani bora tukose woteMina nakupendea hiki tu..huwa hupepesi..aibu sana dume zima kupiga mbinja utajiri wa mwanaume mwenzake..mm ht hawa wenye gari zao wakitumwagiaga maji road maskini naona sawa tu..utajiri unatafutwabkwa ngv kubwa sana na kujibana sana .anakuja ndezi pori anaandika ujinga!
Alivyokuwa masikini mlichunguza umasikini wake?Huyu jamaa alikuwa ni fisadi mkubwa Afilisiwe kabisa,pia atolee maelezo mali zake alizipataje pataje from a to z.
Huyo aniatwa Petii, acha kabisa , he is my friend long time nimepoteana nae sana.Utafikiri akishafilisiwa utapata unafuu wa maisha.
Mkuu ukiona mtu mwenye kufurahia anguko la mwingine huyo mdharau alishashindwa maisha toka mwaka jana
Hapa sasa ni ngumu kuchangiaTaarifa haikueleza mgogoro alionao na taasisi hiyo wala kuitaja taasisi yenyewe mkuu
Huyu ni Moshi siyo Mosha umjuae.Mosha yupo jamani, alipiga hela sana huyu jamaa
Tumfanyie Harambee!Tatizo ni Nini aweke humu aweza saidiwa?
Hivi huyu Jamaa mnamjua au mnamsikia tu, #Alex_massawe cha mtoto hapo.Asaidiwe
Wewe unatakiwa upelekwe mahakamani, uhukumiwe hadi ufe kwa kosa la kutojua kwa nini wewe ni fukara wa kutupwa.Huyu jamaa alikuwa ni fisadi mkubwa Afilisiwe kabisa,pia atolee maelezo mali zake alizipataje pataje from a to z.
kweli wewe ni pilipili kichaa bhange!/tuliefanya nae biashara tunamfahamu ndugu!/Wewe unatakiwa upelekwe mahakamani, uhukumiwe hadi ufe kwa kosa la kutojua kwa nini wewe ni fukara wa kutupwa.
ona uyu mjinga, na wewe elezea imekuaje ukawa fukara ilhali wanaume wenzio wana ela
#manengelo, I LIKES YOU upendo wangu ni wa ajabu mno.Naweza kukutumia upako hapo ulipo?Aahaa hawa ndo watanzania...mie nasemaga siku zote kw hali hii matajiri watabaki.wakuhesabu...yaan tuna wivu wa ajabu mnoo..mkuu hebu ikatae hyo roho!
#manengelo, I LIKES YOU upendo wangu ni wa ajabu mno.Naweza kukutumia upako hapo ulipo?
ukiombwa ushahidi wa ufisadi wake utatoa, yaani serikali ishindwe fahamu huo ufisad ila ww ufahamu kuwa serious mkuuHuyu jamaa alikuwa ni fisadi mkubwa Afilisiwe kabisa,pia atolee maelezo mali zake alizipataje pataje from a to z.