Mfanyabiashara mwingine wa kihindi atekwa

Inaendelea...
Baada ya gari kugonga mti, tairi ikapasuka. Kisha majambazi yakachanganyikiwa kabisa. Majambazi yakawa hayajui yafanye nini mara unakufa

Hahahaa
Endelea tu kustaajabu wasiojulikana kazini, ila ukikutana nao ghafla ndo Una.....
 
TABORA:
Mfanyabiashara mwingine mwenye asili ya Kihindi aliyefahamika kwa jina la Kishori ametekwa na watu wasiojulikana usiku wa Oktoba 25, 2018 na kisha kuondoka nae sehemu isiyojulikana.

Kwa mujibu wa mashuhuda ambao wameongea na mwandishi wa mtandao wa Dar Mpya mapema leo mjini hapa, wameeleza kuwa, tukio hilo limetokea eneo la katikati ya mji wa Tabora karibu na Golden Eagle hotel eneo ambalo ni jirani na ofisi na makazi yake.

Shuhuda hao wameongeza kuwa, wakati tukio hilo limetokea lilikuwa ni la ghafla na walimchukua na kisha kukimbia na gari na kutokomea huko kusiko julikana.

Hata hivyo imeelezwa kuwa watu hao walimtaka awape fedha ili wamuachie, lakini mfanyabiashara huyo aliwaomba warudi nyumbani ndio wape hizo fedha na watu hao walimkubalia baadae kwenda nae nyumbani kwa lengo la kuzichukua fedha ili wamuachie.

“Wakati usiku wanafika kuchukua hizo fedha alizoahidi angewapa ili wamuachie, tayari jeshi la Polisi walitaarifiwa na walifika baada ya mmoja wa wafanyakazi wa muhindi huyo na wengine kushuhudia tukio hilo. Lakini watu hao walishtukia mchezo huo na kukimbia na mfanyabiashara huyo”.

Habari zaidi zinaeleza kuwa, baada ya watu hao kukimbia na mfanyabiashara huyo walikuja kupata ajali katika barabara ya Ujenzi eneo la hoteli ya Wilca baada ya kugonga mti.
Kwa Hiyo wamekamtwa au walignga mti wakaendelea na safari ?
 
Canada ni saa ngapi sasa hivi?
 
Ishakuwa moja ya njia ya kujipatia kipato kutoka kwa wenye kipato kikubwa!

Ova
 
Kweli hii ni muvi mpya ya kihindi huyo msaudi Arabia kaingia mitini hataki kuendeleza mpaka anasaidiwa na binti lowasa
 
walifika nyumbani napolisi walitaarifiwWapo hapo wakakimbia hawakukamatwa wakapata ajali hawakukamatwa vipi hii story?
 
TABORA:
Mfanyabiashara mwingine mwenye asili ya Kihindi aliyefahamika kwa jina la Kishori ametekwa na watu wasiojulikana usiku wa Oktoba 25, 2018 na kisha kuondoka nae sehemu isiyojulikana.

Kwa mujibu wa mashuhuda ambao wameongea na mwandishi wa mtandao wa Dar Mpya mapema leo mjini hapa, wameeleza kuwa, tukio hilo limetokea eneo la katikati ya mji wa Tabora karibu na Golden Eagle hotel eneo ambalo ni jirani na ofisi na makazi yake.

Shuhuda hao wameongeza kuwa, wakati tukio hilo limetokea lilikuwa ni la ghafla na walimchukua na kisha kukimbia na gari na kutokomea huko kusiko julikana.

Hata hivyo imeelezwa kuwa watu hao walimtaka awape fedha ili wamuachie, lakini mfanyabiashara huyo aliwaomba warudi nyumbani ndio wape hizo fedha na watu hao walimkubalia baadae kwenda nae nyumbani kwa lengo la kuzichukua fedha ili wamuachie.

“Wakati usiku wanafika kuchukua hizo fedha alizoahidi angewapa ili wamuachie, tayari jeshi la Polisi walitaarifiwa na walifika baada ya mmoja wa wafanyakazi wa muhindi huyo na wengine kushuhudia tukio hilo. Lakini watu hao walishtukia mchezo huo na kukimbia na mfanyabiashara huyo”.

Habari zaidi zinaeleza kuwa, baada ya watu hao kukimbia na mfanyabiashara huyo walikuja kupata ajali katika barabara ya Ujenzi eneo la hoteli ya Wilca baada ya kugonga mti.
Kwahiyo mti waliougonga ukawameza.
Kwaheri kuonana ni majaliwa.
 
Story ndio imeishia hapo?

Baada ya gari kugonga mti ........
 
Hili neno "mwenye asili ya india" naona kama ni la kibaguzi. Unakuta mtu kazaliwa hapa hapa, mababu zake wamezikwa hapa hapa halafu tuna mwita mwenye asili ya...makabila mengi ya Watanzania wametokea kaskazini na kusini mwa afrika, mbona huwa sisikii mtanzania mwenye asili ya sudan, ethiopia ana afika kusini?
 
Inaendelea...
Baada ya gari kugonga mti, tairi ikapasuka. Kisha majambazi yakachanganyikiwa kabisa. Majambazi yakawa hayajui yafanye nini mara unakufa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
walishtukia mchezo huo na kukimbia na mfanyabiashara huyo....baada ya kugonga mti....UNAONA PANAVYONOGAAAA APAAAAA
what next???
 
Back
Top Bottom