Mfano ndo wewe!

Huyo hafai hata kidogo,wala hajijui kabisa!In short kamzimia rafikiyo!
 
Inawezekana Lengo lake ni kukufikishia ujumbe kuwa anazipenda tabia za rafiki yako ili nawe nawe ubadilike na kuwa na tabia kama hizo. Tatizo linakuja kwamba hakufikiria madhara ya kukufikishia ujumbe kwa njia ya kumsifia rafiki yako. Inaonekana anakupenda ila upeo wake wa jinsi ya kukufikishia ujumbe ni mdogo.

Jaribu kumfanya hivyo anavyopenda (kama inawezekana, maana kwenye mapenzi hutakiwi kuiga/kujilazimisha tabia ambazo huziwezi/huzipendi) kisha uone kama atafurahia na kuanza kukusifia.

Ukiona hakuna mabadiliko, na masifa bado yanamwagwa kwa rafiki yako, chapa lapa.
 
Happy usitete kisa we ni mwanamke,ukweli unabaki palepale lazima utakuwa na hisia na huyo jamaa!
 
mhm...mie naona itabidi nianze kujipanga tuu taratibu kwa kupata kibuti!!!!

Ka nini ukimbie challenge? Unabadilika tuu unakuwa vile mpenzi wako anapenda, kisha ataanza kukusifia wewe badala ya rafiki zako!
 
Back
Top Bottom