Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,313
- 144,684
- Thread starter
- #41
Huu uzi ungekuwa umeanzishwa na mtu mwingine ungekuwa umeshaunganishwa.Muosha vyombo..
Umefungua uzi mwingine..kwelii Bashite alikuaribu alivyo kuja State,..
Hahahahaa..
Kweli kabsa,had watu wenye sifuri kuongoza mikoa,alaf tunategemea watu wenye akili zao waeekeze mabilioni yako hapa,puuuuuWafuasi wake, misukule wake na wadandia treni lake watakuambia ameamua kutunza kombora akisubiri mashambulizi kutoka kwa maadui!
Hii nchi ina matatizo zaidi ya tunavyodhani!
Si ndio walio ivamia JF baada ya jambaa kupandishwa kiz mbaniHuu uzi ungekuwa umeanzishwa na mtu mwingine ungekuwa umeshaunganishwa.
Mkuu kumbe umeliona!! AsanteWafuasi wa Gwajima akili zao ni sawa na zile za wale wa UKAWA,...
Mkuu, these terminologies are too low for youWafuasi wake, misukule wake na wadandia treni lake watakuambia ameamua kutunza kombora akisubiri mashambulizi kutoka kwa maadui!
Hii nchi ina matatizo zaidi ya tunavyodhani!
Gwajima si alifanya promo kuwa leo anamaliza kila kitu. Sasa umekuwaje?Suala la vyeti vya Daudi Albert Bashite bado kabisa..
Jizi la Taaluma.
Mnaopiga kelele mmo mtandaoni na mtaishia mtandaoni. Gwajima mwenyewe kachemsha.Vyovyote iwavyo, la kusikitisha ni kwamba Mh. ameweka precedence mbaya vizazi na vizazi. Kadhia hii haitokaa ifutike kwa miaka mingi ijayo na itatumika sana kama rejea ya mifano bora kabisa ya kuepukwa kitaaluma, kijamii, na hata kiuongozi na kiutawala kwa kuzingatia wadhifa wa juu aliofikia. Haipendezi na inasikitisha ila jambo likishatokea limetokea na wakati haurudi nyuma.
Hata hivyo bado anayo nafasi; athibitishe tuhuma hizi ni uongo na njia pekee sio kwa vijembe au mipasho bali kuweka nyaraka hadharani - so simple. Na yeye sio wa kwanza; wengi wamefanya hivyo. Ifike mahali tuhuma, hususan jinai, iwe ni mwiko kwa kiongozi.
Allow me to congratulate you for correct use of words that exactly depict what this lot is.You Gwajima fanboys are so predictable! Creatures of habit😀.