Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 93,497
- 119,407
Kama ilivyokuwa kwa UKUTA, Askofu Gwajima naye kafanya hivyo hivyo.
Kawapandisha hawaa wafuasi wake, misukule wake, na wadandia treni lake halafu siku ya siku ilipofika kawaacha wananing'inia bila ya kuwapatia kile walichodhani watakipata toka kwake.
Kiki keshaipata [ambayo huenda imeambatana na rupia kiasi fulani].
Nadhani sasa mashiko ya hiyo nuksani yake na mkuu wa mkoa wa Dar yanaanza kufifia.
Kwa vile tumekuwa ni watu wenye kupenda penda matukio ya muda mfupi, nasubiri kwa hamu tukio lijalo litakalobamba.
Sijui ni tukio lipi lijalo ambalo litabamba katika siku na majuma yajayo lakini nadhani ule uchaguzi wa kumpata rais wa wale wadada na makaka 'wasomi' kule Arusha huenda ukawa ni mmojawapo.
Tusubiri tuone.