Huyo ni mmiliki wa kanisa fulani Kule Mwanza.. Jana limefungiwa na serikali kulingana na ibada zake finyu..Ni nani kwani huyo Mkuu. Mara ya pili naona hili jina?
jini tu huyo! maana kwa matendo yake mh!! iweje awafanye watu kama sio kitu karne hii na wabinadama maskini wamo tu wanashangilia
Oooh!! 🙏Huyo ni mmiliki wa kanisa fulani Kule Mwanza.. Jana limefungiwa na serikali kulingana na ibada zake finyu..
Anaijiitwa Mfalme Zumaridi
Huyu mama ni muwekezaji wa ndani alindwe.
Mabaharia wanatafuna tu hawaogopi viumbe wa ajabu bahariniHana cha urembo hata nini, makeup ndo vinakuzuzua.. Ni mchawi wa kutwapwa manina zake
Ety eehMabaharia wanatafuna tu hawaogopi viumbe wa ajabu baharini
Huyu ni Jini au?
Kwa tunaojua kusoma muonekano wa mtu nishajua hadi ladha na umbo la sirini kwa huyo dada hapo.