Amesomea AmericaAjabu sana ana mke mmoja tu.
Mkuu, Moroccotumechoka kurubuniwa na futari, daku, pilau, tende, misikiti na madrassa
especially na vinchi ambavyo hawana ambacho hatuna
Morocco ana nini ambacho Tanzania haina?
Ndio maana Nyerere alifukuza balozi wao hapa
Hakuona cha mno cha kumnyenyekea
hana watu wasiojulikana kama Tz,Mkuu, Moroccohana watu wasiojulikana kama Tz,
Endelea kujidanganya na stori zenu zakiLumumba, unajua kuwa Tz inapokea dola ngapi za msaada kutokakwa sababu Morocco is a full-fledged dictatorship, hakuna anaethubutu kupinga chochote, hapa kwetu tuna watekaji kwa vile kuna watu wanapinga, wanasema, wanasiasa wapinzani, wanaharakati, n.k... bado tuko kwenye udikteta uchwara. Morocco is an out-and-out dictatorial monarchy
hatukuwa na sababu ya kujinyenyekeza kwa Morocco kwa malipo ya msikiti, tende, halua na uwanja wa mpira
kila mwaka?? Nafkiri kama halua na tende na kahawa unapewa ww tu apo Lumumba ili uje kusema urongo humu, lakini wakuu wenyewe huko ndio wanatafuna hela za kimorocco na sio ww, so huwezi kujua kituEndelea kujidanganya na stori zenu zakiLumumba, unajua kuwa Tz inapokea dola ngapi za msaada kutokakila mwaka?? Nafkiri kama halua na tende na kahawa unapewa ww tu apo Lumumba ili uje kusema urongo humu, lakini wakuu wenyewe huko ndio wanatafuna hela za kimorocco na sio ww, so huwezi kujua kitu
Sio mambo ya hovyo hovyo anachofanya mswati ndio uanaumeHapendagi mambo ya hovyo hovyo ya mswati 😁
Shilingi ngapi tunapokea from Morocco? Toka lini? Nyerere alifunga ki ubalozi chao hatuna shida na Morocco bana!
Misaada wanakula "wenyewe," as you put it, I guess you mean BAKWATA and the ruling elite. Kwa hiyo unakiri kwamba sisi Watanzania hatufaidiki na misaada ya Morocco. Tende, Halua, Kalimati, Sharubati na pilau za futari HATUTAKI
they get so ridiculous with this misaada ya futari thing
Hussein Bashe bungeni ameomba import tariff exemption during the Ramaddan for food commodities from Dubai kwa sababu kuna watu hawawezi ku afford futari. Wait a minute, Ramadhani ikiisha bei ikipanda inakuaje?
Hawezi ku afford futari, sasa mwaka mzima anakula nini? Mwafrika alivyo short sighted ajabu, anafikiria chakula cha mwezi mmoja, kashiba futari karidhika mwaka mzima