Mfalme wa mapenzi.... enjoy!

Mfalme wa mapenzi.... enjoy!

Ha ha ha sikutaki mkuu
Ila jitahid kumpa huduma zote mkeo huyo
Nasema sikutaki Asprin babu
Cc Khantwe mchukue mumeo mkapunzike

İsomeke hivyo. manake siku hizi mna tabia ya kulazimisha michepuko. hata mi sikutaki. Ndo ujue mi na Khantwe hatujafahamiana gulioni Katerero.
 
Last edited by a moderator:
Usijali.. niPM namba yako nikujaze vijazavyo.

My friend be carefully na bibie shuhudia nilivyosemwa na mumewe .
Cha ajabu huyu mumewe kafumaniwa mchana huu na bint mwingine jaman
 
My friend be carefully na bibie shuhudia nilivyosemwa na mumewe .
Cha ajabu huyu mumewe kafumaniwa mchana huu na bint mwingine jaman

Yan wee mpanaaa....ka pazia la sinema
 
Kiswahili ni cha kwetu.. je ni wa hapa hapa huyu Buruguni, ama?
 
Hahahaa.... Huyu kijana wa zamani anamuwezea kweli.
My friend be carefully na bibie shuhudia nilivyosemwa na mumewe .
Cha ajabu huyu mumewe kafumaniwa mchana huu na bint mwingine jaman
 
Shikamoo charminglady ...huyo mfalme mbona mwoga hivyo, au anafanya kazi makumbusho nini? Haoneshi sura kabisa! Ila hii mama yeyoo ishanitanulia boxer! .....usiogope,ni elestic itarudi!
 
Last edited by a moderator:
Marbaa mkuu.... Sasa akionesha sura si atapendwa jamani...

Nilitoka kuangalia Temptation Confessions of Marriage Counselor (2013) ni vyema bidhaa ikapitia kwenye tanuru kwanza ionje joto la chuma kabla haijawa directed kutumika kwa matumizi ya nyumbani, kwa kufanya hivyo utaepuka vingi!
 
Well well well....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom