Mfalme wa mapenzi.... enjoy!

Mfalme wa mapenzi.... enjoy!

Nimeangalia hii makitu ni hatari!

Video hiyo iliyoongozwa na Mhando Brian imetabiriwa kufungwa isichezwe kwenye vituo vya television vya Kenya kwa kuzingatia kilichotokea kwa wimbo wa Sauti Sol, Nishike.

Mfalme wa Mapenzi inawezekana imeenda nje ya maadili hata zaidi ya video ya wimbo wa Nishike wa Sauti Sol kwa kuzingatia vigezo vilivyotajwa hadi kuifungia hiyo Nishike.

Sanaipei anaonesha jinsi ambavyo anaweza kupata faraja ya moyo kutoka kwa mwanaume anaejua wapi pa kushika na nini cha kufanya wanapokuwa faragha.

Source: Mpekuziblog
 
Aisee!!
 
Ha ha ha babu utaishia kuangalia kwanza ushazeeka ....
Mrembo hana bundle umeshindwa kucare ..

Mpenz Asprin umeona hapa? amesema ICHANA lakini sio mimi....mimi nimemwambia gegedo lanitosha
 
Last edited by a moderator:
Mbona mfalme mwenyewe amelala hoi,inaonekana mechi imemkimbiza
 
Unanitaka? Nakuuliza tena unantaka mtoto wa mwanamke mwenzio???

Ha ha ha sikutaki mkuu
Ila jitahid kumpa huduma zote mkeo huyo
Nasema sikutaki Asprin babu
Cc Khantwe mchukue mumeo mkapunzike
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom