tamimusalim JF-Expert Member Joined Jun 17, 2014 Posts 1,822 Reaction score 501 Jun 18, 2014 #2 Mhmmmm!!!!
Jodoki Kalimilo JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 12,673 Reaction score 11,343 Jun 18, 2014 #3 Mikumi nini hiyo? najua nitaulizwa huoni namba hizo za gari sio zetu
Jodoki Kalimilo JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 12,673 Reaction score 11,343 Jun 18, 2014 #4 Ukiwa Serengeti unapandishwa kwenye vile vi Landrover vibanda wazi kama ni mwoga unaweza kupiga kelele
Ukiwa Serengeti unapandishwa kwenye vile vi Landrover vibanda wazi kama ni mwoga unaweza kupiga kelele
ISO M.CodD JF-Expert Member Joined Feb 17, 2013 Posts 8,143 Reaction score 17,639 Jun 18, 2014 #5 Ukimuovateki?
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,255 Jun 18, 2014 #6 ISO M.CodD said: Ukimuovateki? Click to expand... Poa tu, tena yupo kushoto, hiyo nchi watakua wana endesha kushoto!
ISO M.CodD said: Ukimuovateki? Click to expand... Poa tu, tena yupo kushoto, hiyo nchi watakua wana endesha kushoto!
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 Jun 18, 2014 Thread starter #7 Red Scorpion said: Poa tu, tena yupo kushoto, hiyo nchi watakua wana endesha kushoto! Click to expand... Tanzania tunaendesha kushoto pia
Red Scorpion said: Poa tu, tena yupo kushoto, hiyo nchi watakua wana endesha kushoto! Click to expand... Tanzania tunaendesha kushoto pia
Msherwa JF-Expert Member Joined Aug 4, 2012 Posts 1,323 Reaction score 1,232 Jun 18, 2014 #8 Dawa yake akutane na ​Yanga