Mfalme Ogu wa Bashani: Mnefili pekee aliyepona kwenye Gharika la Nuhu

Duuh, kweli uumbaji wa Mungu ni wa kustaajabisha sana
 
HIVI MIAKA YOTE YA GHARIKA YEYE OGU ALIKUA ANAKULA NINI??
Gharika ilichukua miaka?? Gharika miezi tu mkuu ambapo Ogu aliweza kula wale samaki waliotupwa huku na kule au hata kula mizoga ya watu na wanyama!!

Pia wakati wa vita ya pili ya dunia kuna askari wa marekani walisurvive zaidi ya siku 50 kwenye boti ya kujazwa upepo kama mfuko katikati ya pacific na hao ni wanadamu wa kawaida tu ndio sembuse lijitu la futi zaidi ya 28???

ambalo linaweza kuhimili njaa na kiu kwa muda mrefu zaidi kuliko average mwanadamu.....
 
Ukisoma Biblia inaonyesha sana kuna mengi yenye kuhitaji maelezo ya kina. Je hakuna link kati ya alien na haya majitu?, Kuna Video youtube zinasema kuwa haya majitu yaliyozaa na binadam -- ndio yalifundiha binadamu wa kale technology, ndio yalioleta mabadiliko. Wenda sasa kuna mazalia ya watu hao wa Ajabu.
 

ndio maana mimi huwa naamini daudi alikuwa na umri mdogo lakini umbile kwa miaka hiyo alikuwa hashimu thabit, kutokana kizazi chao hakuwa kijana mdogo kama sisi
 
Mierezi ni mirefu lakini sio minazi mkuu.
Mkuu muwe mnasoma vizuri uzi.....Wapi nimesema Mierezi ni mnazi?? Nlichosema inafanana UREFU..... Mierezi ya Lebanon inafika mpaka futi 100 ikimaanisha inaizidi hata jamii za mnazi. Na ndio size ambayo Nabii Amos alimlinganisha Mfalme OGU.
 
Hilo neno "mrefu zaidi ya minazi" Nabii Amos amelisema wapi? kama ukitaka ku quote basi sema alichokisema msemaji sio kuongeza chumvi mkuu. Naishia hapa.
 
Hilo neno "mrefu zaidi ya minazi" Nabii Amos amelisema wapi? kama ukitaka ku quote basi sema alichokisema msemaji sio kuongeza chumvi mkuu. Naishia hapa.
Sasa minazi ya Lebanon si futi zaidi ya 100 na minazi ya middle east ina-average mpaka Futi 70-80 sasa mtu akiwa na urefu wa kama Mierezi ya Lebanon anakuwa automatically mrefu kuliko mnazi. Sasa great thinker unashindwaje kuelewa kitu kidogo hivi??

Bottom line hapa ni kwamba alikuwa mrefu sana kuliko average human being hata kama hafikii urefu hata wa mchicha!!!
 
si kweli
jasher chapter 6 inasema
And all the fountains of the deep were broken up, and the windows of heaven were
opened, and the rain was upon the earth forty days and forty nights.
15. And Noah and his household, and all the living creatures that were with him, came into
the ark on account of the waters of the flood, and the Lord shut him in.
16. And all the sons of men that were left upon the earth, became exhausted through evil on
account of the rain, for the waters were coming more violently upon the earth, and the
animals and beasts were still surrounding the ark.
17. And the sons of men assembled together, about seven hundred thousand men and
women, and they came unto Noah to the ark.
18. And they called to Noah, saying, Open for us that we may come to thee in the ark--and
wherefore shall we die?
19. And Noah, with a loud voice, answered them from the ark, saying, Have you not all
rebelled against the Lord, and said that he does not exist? and therefore the Lord
brought upon you this evil, to destroy and cut you off from the face of the earth.
20. Is not this the thing that I spoke to you of one hundred and twenty years back, and you
would not hearken to the voice of the Lord, and now do you desire to live upon earth?
21. And they said to Noah, We are ready to return to the Lord; only open for us that we may
live and not die.
22. And Noah answered them, saying, Behold now that you see the trouble of your souls,
you wish to return to the Lord; why did you not return during these hundred and twenty
years, which the Lord granted you as the determined period?
23. But now you come and tell me this on account of the troubles of your souls, now also
the Lord will not listen to you, neither will he give ear to you on this day, so that you
will not now succeed in your wishes.
24. And the sons of men approached in order to break into the ark, to come in on account of
the rain, for they could not bear the rain upon them.
25. And the Lord sent all the beasts and animals that stood round the ark. And the beasts
overpowered them and drove them from that place, and every man went his way and
they again scattered themselves upon the face of the earth.
26. And the rain was still descending upon the earth, and it descended forty days and forty
nights, and the waters prevailed greatly upon the earth; and all flesh that was upon the

earth or in the waters died, whether men, animals, beasts, creeping things or birds of the
air, and there only remained Noah and those that were with him in the ark.
27. And the waters prevailed and they greatly increased upon the earth, and they lifted up
the ark and it was raised from the earth.
28. And the ark floated upon the face of the waters, and it was tossed upon the waters so
that all the living creatures within were turned about like pottage in a cauldron.
29. And great anxiety seized all the living creatures that were in the ark, and the ark was
like to be broken.
30. And all the living creatures that were in the ark were terrified, and the lions roared, and
the oxen lowed, and the wolves howled, and every living creature in the ark spoke and
lamented in its own language, so that their voices reached to a great distance, and Noah
and his sons cried and wept in their troubles; they were greatly afraid that they had
reached the gates of death.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…