Kila nikisoma Historia huwa nazidi kushawishika kwamba
sisi Waafrika ni watu wavivu, na tabia ya mtu mvivu ni kutafuta visingizio, ukiangalia Wazungu waliotutawala kama Wajerumani, Waingereza na wengineo walituma Magavana ktk kwao kuja kutawala nchi zetu, Mfalme wa Uingereza alituma Gavana kuja kuishi Nairobi wkt Gavana anakuja
sehemu ambayo leo hii inaitwa Nairobi ilikuwa na Dimbwi au Bwawa wanaita kwa kikwao swamp lkn gavana alikuja akaanza kazi na kuweka makao yake, Wajerumani pia Gavana alikuja kuishi Dar ingawaje Dar ilikuwa tayari imejengeka kidogo kabla ya ujaji wa Gavana wa Kijerumani ukilinganisha na Nairobi!
Lakini ninachojaribu kukisema hapa ni kwamba utaona hawa Wazungu Magavana
hawakutoa kisingizio cha kwamba hatuwezi kuishi porini Afrika walikuja wakaanzisha makazi, wakajenga Miji leo hii kila mtu anapenda Nairobi, lkn sisi tunagoma kwenda Dodoma tunasema haifai kuwa Mji Mkuu wkt Dodoma ina kila kitu, Nyumba zipo, Umeme upo, Br. zipo
, chanzo cha Maji kutoka Bwawa Hombolo kipo, hata ramani ya mipango miji ipo, Chuo Kikuu kipo, ofisi karibia zote kuanzia Ikulu , ofisi za WM na Wizara karibia zote zipo lkn bado
tunasema Dodoma haifai kuwa Mji Mkuu kama huu siyo uvivu ni nini?
Ukirudi kwenye Historia hata Waasia Singapore ilikuwa kijiji cha uvuvi wa samaki tu, lkn Wachina pmj na Waingereza walijenga Singapore ktk kijiji chja kuvulia samaki mpka moja kati ya Majiji tajiri Duniani, ukiangalia USA
kama ulishawahi kusikia kuhusu Wild west ni kwamba Wazungu walikuwa wanatoka Mashariki mwa nchi yao ambako kulikuwa kumeshaendelea na kuhamia sehemu nyingine za USA
huko walikuta mapori walijenga Miji kuanzia chini leo hii kila mtu anataka kwenda kwenda kuishi Colorado au sijui Arizona, lkn tofauti ya sisi na Wazungu ni kwamba mmoja ni mchapa kazi mwingine ni mvivu na
siku zote huishi kwa visingizio, nina uhakika leo hii ukiwapa Wazungu au Wachina hii nchi Kiongozi wao atahamia Dodoma moja kwa moja kama ilivyo na kuanza kujenga na wala hakutakuwa na majadiliano kama tunayoyafanya sisi ...
Huu ni Mji wa Dodoma ambao
Mwafrika anaudharau na kuuponda kwamba haufai kwa yeye kuishi!
Hata Kituo cha Treni kipo lkn Mwafrika anakataa anasema Dodoma
haina hadhi kuwa Mji Mkuu wake, Mwafrika huyu ni masikini wa kutupwa na lkn anakataa Mji kama huu!
Huu ndiyo Mji unaokataliwa na Mwafrika kwa hauna hadhi ya kuwa Mji Mkuu wake, kumbuka
Mwafrika ndiyo binadamu Masikini klk wote Duniani kwenye kila kipimo cha umaskini kijulikanacho Dunia hii!
Hawa ni wazungu wakati wanafanya
expansion kutoka Mashariki mwa nchi ya USA kwenda Magharibi maarufu kama
Wild West kama ulishawahi kuangalia filamu za Wild west za Hollywood!
Walifika mahali hakuna chochote lkn walienda na kujenga miji ambayo leo hii tunaitamani!
Wahamiaji wa Kizungu huko Dakota,USA!
Wazungu wakaanza kujenga Miji kuanzia chini kabisa!
Wahamiaji wakaanza Kilimo!
Hii ni Houston Texas!
Houston Texas ya leo ambayo wote tunalilia kwenda kuishi
Johannesburg, AK wazungu walivyofika kwa mara ya kwanza!
J'burg ya leo!