Mfalme Mzungu alituma Gavana Dar, Nairobi &Co.!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,782
Kila nikisoma Historia huwa nazidi kushawishika kwamba sisi Waafrika ni watu wavivu, na tabia ya mtu mvivu ni kutafuta visingizio, ukiangalia Wazungu waliotutawala kama Wajerumani, Waingereza na wengineo walituma Magavana ktk kwao kuja kutawala nchi zetu, Mfalme wa Uingereza alituma Gavana kuja kuishi Nairobi wkt Gavana anakuja sehemu ambayo leo hii inaitwa Nairobi ilikuwa na Dimbwi au Bwawa wanaita kwa kikwao swamp lkn Gavana alikuja kutoka London akaanza kazi na kuweka makao yake, Wajerumani pia Gavana alikuja kuishi Dar kwanza alianzia Bagamoyo na baadaye akahamishia mji Mkuu wake Dar ingawaje ilikuwa tayari imejengeka kidogo kabla ya ujaji wa Gavana wa Kijerumani ukilinganisha na Nairobi!

Lakini ninachojaribu kukisema hapa ni kwamba utaona hawa Wazungu Magavana hawakutoa kisingizio cha kwamba hatuwezi kuishi porini Afrika walikuja wakaanzisha makazi, wakajenga Miji leo hii kila mtu anapenda Nairobi, lkn sisi tunagoma kwenda Dodoma tunasema haifai kuwa Mji Mkuu wetu wkt Dodoma ina kila kitu, Nyumba zipo, Umeme upo, Br. zipo, chanzo cha Maji kutoka Bwawa Hombolo kipo, hata ramani ya mipango miji ipo, Chuo Kikuu kipo, ofisi karibia zote kuanzia Ikulu, ofisi za WM na Wizara karibia zote zipo lkn bado tunasema Dodoma haifai kuwa Mji Mkuu wetu, kama huu siyo uvivu ni nini?

Ukirudi kwenye Historia hata Waasia, Singapore ilikuwa Kijiji cha uvuvi wa Samaki tu, lkn Wachina pmj na Waingereza walijenga Singapore ktk kuwa Kijiji cha kuvulia Samaki mpaka moja kati ya Majiji tajiri Duniani, ukiangalia USA kama ulishawahi kusikia kuhusu Wild west ni kwamba Wazungu walikuwa wanatoka Mashariki mwa nchi yao ambako kulikuwa kumeshaendelea na kuhamia sehemu nyingine za USA huko walikuta mapori lkn walijenga Miji kuanzia chini leo hii kila mtu anataka kwenda kwenda kuishi Colorado, San fransicso au sijui Arizona, lkn tofauti ya sisi na Wazungu, Waasia ni kwamba wengine ni wachapa kazi mwingine ni mvivu na siku zote huishi kwa visingizio, nina uhakika leo hii ukiwapa Wazungu au Wachina hii nchi Kiongozi wao atahamia Dodoma moja kwa moja kama ilivyo na kuanza kujenga na wala hakutakuwa na majadiliano kama tunayoyafanya sisi ...

Huu ni Mji wa Dodoma ambao Mwafrika anaudharau na kuuponda kwamba haufai kwa yeye kuishi!
280px-View_of_Bunge_Buildings.jpg

Nyerere Square, Dodoma!
1280px-Nyerere_Square_in_Dodoma.jpg

Hata Kituo cha Treni kipo lkn Mwafrika anakataa anasema Dodoma haina hadhi kuwa Mji Mkuu wake, Mwafrika huyu ni masikini wa kutupwa na lkn anakataa Mji kama huu!
1280px-Dodoma_Train_Station.JPG



Huu ndiyo Mji unaokataliwa na Mwafrika kwa hauna hadhi ya kuwa Mji Mkuu wake, kumbuka Mwafrika ndiyo binadamu Masikini klk wote Duniani kwenye kila kipimo cha umaskini kijulikanacho Dunia hii!
1280px-Central_Dodoma.JPG



University_of_Dodoma.jpg



Hawa ni wazungu wakati wanafanya expansion kutoka Mashariki mwa nchi ya USA kwenda Magharibi maarufu kama Wild West kama ulishawahi kuangalia filamu za Wild west za Hollywood!
United_States_1789-03-1789-08.png


Walifika mahali hakuna chochote lkn walienda na kujenga Miji ambayo leo hii tunaitamani!
1280px-Alfred_Jacob_Miller_-_Fort_Laramie_-_Walters_37194049.jpg



Wahamiaji wa Kizungu huko Dakota,USA!
800px-Dakota_War_of_1862-stereo-right.jpg


Wazungu wakaanza kujenga Miji kuanzia chini kabisa!
Fsstockade.jpg


Wahamiaji wakaanza Kilimo!

Homesteader_NE_1866.png



Hii ni Houston, Texas!

1024px-Old_map-Houston-1873.jpg


Houston Texas ya leo ambayo wote tunalilia kwenda kuishi
1000px-Skyline_of_the_Texas_Medical_Center_-_Houston%2C_TX.jpg



Johannesburg, AK Wazungu walivyofika kwa mara ya kwanza!

Johannesburg%2C_South_Africa_%281896%29.jpg

Langlaagte.jpg


J'burg, AK ya leo!
800px-Johannesburg_From_M2_Highway_Looking_North.jpg
 
Acha uchizi
Tunachokwambia hapa n budget ya kwenda dodoma imepitishwa wapi
Kama bunge halijapitisha means bunge halina kazi na ni bora livunjwe mana moja ya kaz za bunge n kupitisha budget sasa kama raisi anajiamulia mambo nje ya budget kweli tukae kimyaa
Hatuwezi kuwa machizi au maxuzu kama ww
 
Wao walikuja huku wakiwa na interest kibao. Madini yalikua mengi mno,watumwa pia walihitajika wa kutosha,kulikua na ardhi yenye rutuba na iliyoshawishi kilimo na nguvu kazi ilikuwepo.

Sasa Dodoma tunaenda kufaidika na nini cha ziada? Tuambie tujue,kama ipo cha ziada kuliko kilichopo Dar es Salaam kwa sasa basi tutakusapoti.

Usilete janja zako kutaka kuhalalisha unadhimu za kikwenu.
 
sisi huwezo wetu wa akili wa kufikilia ni mdogo kutokana na kutojali na kutokubaliana weusi kwa weusi
 
Nakubali hoja ya kuhamia DOM, kwanza ni vizuri nchi iwe na miji mikuu atleast3, sio kila kitu sehemu moja.
 
ukija na mada kama hizi, utakuwa rafiki yangu mkubwa

yaelekea elimu yako imeanza kuiva

humu katikati ulikuwa na mada zilizokuwa zinatufanya tuhoji weledi na elimu yako.....au ulikuwa unatafuta ukuu fulani na umeupata?
 
Kila nikisoma Historia huwa nazidi kushawishika kwamba sisi Waafrika ni watu wavivu, na tabia ya mtu mvivu ni kutafuta visingizio, ukiangalia Wazungu waliotutawala kama Wajerumani, Waingereza na wengineo walituma Magavana ktk kwao kuja kutawala nchi zetu, Mfalme wa Uingereza alituma Gavana kuja kuishi Nairobi wkt Gavana anakuja sehemu ambayo leo hii inaitwa Nairobi ilikuwa na Dimbwi au Bwawa wanaita kwa kikwao swamp lkn gavana alikuja akaanza kazi na kuweka makao yake, Wajerumani pia Gavana alikuja kuishi Dar ingawaje Dar ilikuwa tayari imejengeka kidogo kabla ya ujaji wa Gavana wa Kijerumani ukilinganisha na Nairobi!

Lakini ninachojaribu kukisema hapa ni kwamba utaona hawa Wazungu Magavana hawakutoa kisingizio cha kwamba hatuwezi kuishi porini Afrika walikuja wakaanzisha makazi, wakajenga Miji leo hii kila mtu anapenda Nairobi, lkn sisi tunagoma kwenda Dodoma tunasema haifai kuwa Mji Mkuu wkt Dodoma ina kila kitu, Nyumba zipo, Umeme upo, Br. zipo, chanzo cha Maji kutoka Bwawa Hombolo kipo, hata ramani ya mipango miji ipo, Chuo Kikuu kipo, ofisi karibia zote kuanzia Ikulu , ofisi za WM na Wizara karibia zote zipo lkn bado tunasema Dodoma haifai kuwa Mji Mkuu kama huu siyo uvivu ni nini?

Ukirudi kwenye Historia hata Waasia Singapore ilikuwa kijiji cha uvuvi wa samaki tu, lkn Wachina pmj na Waingereza walijenga Singapore ktk kijiji chja kuvulia samaki mpka moja kati ya Majiji tajiri Duniani, ukiangalia USA kama ulishawahi kusikia kuhusu Wild west ni kwamba Wazungu walikuwa wanatoka Mashariki mwa nchi yao ambako kulikuwa kumeshaendelea na kuhamia sehemu nyingine za USA huko walikuta mapori walijenga Miji kuanzia chini leo hii kila mtu anataka kwenda kwenda kuishi Colorado au sijui Arizona, lkn tofauti ya sisi na Wazungu ni kwamba mmoja ni mchapa kazi mwingine ni mvivu na siku zote huishi kwa visingizio, nina uhakika leo hii ukiwapa Wazungu au Wachina hii nchi Kiongozi wao atahamia Dodoma moja kwa moja kama ilivyo na kuanza kujenga na wala hakutakuwa na majadiliano kama tunayoyafanya sisi ...

Huu ni Mji wa Dodoma ambao Mwafrika anaudharau na kuuponda kwamba haufai kwa yeye kuishi!
280px-View_of_Bunge_Buildings.jpg

Nyerere square, Dodoma!
1280px-Nyerere_Square_in_Dodoma.jpg

Hata Kituo cha Treni kipo lkn Mwafrika anakataa anasema Dodoma haina hadhi kuwa Mji Mkuu wake, Mwafrika huyu ni masikini wa kutupwa na lkn anakataa Mji kama huu!
1280px-Dodoma_Train_Station.JPG



Huu ndiyo Mji unaokataliwa na Mwafrika kwa hauna hadhi ya kuwa Mji Mkuu wake, kumbuka Mwafrika ndiyo binadamu Masikini klk wote Duniani kwenye kila kipimo cha umaskini kijulikanacho Dunia hii!
1280px-Central_Dodoma.JPG



University_of_Dodoma.jpg



Hawa ni wazungu wakati wanafanya expansion kutoka Mashariki mwa nchi ya USA kwenda Magharibi maarufu kama Wild West kama ulishawahi kuangalia filamu za Wild west za Hollywood!
United_States_1789-03-1789-08.png


Walifika mahali hakuna chochote lkn walienda na kujenga miji ambayo leo hii tunaitamani!
1280px-Alfred_Jacob_Miller_-_Fort_Laramie_-_Walters_37194049.jpg



Wahamiaji wa Kizungu huko Dakota,USA!
800px-Dakota_War_of_1862-stereo-right.jpg


Wazungu wakaanza kujenga Miji kuanzia chini kabisa!
Fsstockade.jpg


Wahamiaji wakaanza Kilimo!

Homesteader_NE_1866.png



Hii ni Houston Texas!

1024px-Old_map-Houston-1873.jpg


Houston Texas ya leo ambayo wote tunalilia kwenda kuishi
1000px-Skyline_of_the_Texas_Medical_Center_-_Houston%2C_TX.jpg



Johannesburg, AK wazungu walivyofika kwa mara ya kwanza!

Johannesburg%2C_South_Africa_%281896%29.jpg

Langlaagte.jpg



J'burg ya leo!
800px-Johannesburg_From_M2_Highway_Looking_North.jpg
Kula like mkuu!!!! labda sasa pengine hata mtaala wa ilimu yetu nao ubadilishwe maana umekita zaidi theoretic na unawaanda watu kuajiriwa tu; hebu wewe fikiria mtu analipwa mil.40 monthly, na anafanyakazi 10yrs bado skistafishwa anaanza kulialia; kumbe slitakiwa kuanzisha ujasilia mali maana mshahara wake ni mkubwa mno;

Je unamkumbuka RC wa Motogoro alitenguliwa? eti nayeye bado ni maskini pamoja na PhD yake? tena analia?

tujikite kwenye ujasiria mali zaidi ndiyo tutapata uwezo wa kuyaendleza maeneo yetu mazuri! kilimo kimewafanya wazungu kuwa matajiri na ndo wakapata na akili ya viwanda; kweli kabisa mwafrica ndo mtu maskini kuliko wote dunian, na tena ndo watu wachache kuliko rangi nyingine duniani, lakini pia ndo watu wenye kila aina ya natural resources but poorly?
 
Tafuta kazi ya kufanya wewe unaboa na mada zako za kipuuzi.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom