ila jamaa katisha sana ile show ya janaThe King Mwenyewe .![]()
Saida Karoli tayariJana kiba alitisha kweli kiti chake kilikuwa Na vumbi tu mfalme amerudi kiti chake anakalia. Kina fulani wataimba nyimbo zote za zamani tu sijui sasa watakuja Na za Bibi kidude au shakira
Jana kiba alinifuraisha maana watu walienda kuruka sarakasi maana kuimba na live band ilikuwa kazi kwaoSaida Karoli tayari
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aliimba wimbo wke gani mpaka akapokea shangwe ivyoNani anabishaaaaa?
Sio kwa performance ile
Sio kwa shangwe lile
Shkamoo King Kiba [emoji119]
Ile verse yake kwenye unconditionally bae...Aliimba wimbo wke gani mpaka akapokea shangwe ivyo
akashindane na barnaba hukoWaaap......viewers wa youtube sio kigezo cha ubora.... Ubora ni King Kiba mwenyewe na vocal yake.
Mie nkajua aliimba za kwake!!Ile verse yake kwenye unconditionally bae...
[emoji445] me I need a wife...[emoji445]
Heheeee [emoji108]
Iliwachomaje sasa?