Mfahamu vyema mnyama Tembo (Elephant )

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,891
155,907

1.Tembo pamoja na ukubwa wake akitembea hana kishindo kabisa miguu yake kwa chini ni kama ina sponge hivi.

2.Tembo anaukubwa wa tani 7

3.Tembo jike hubeba mimba miaka 2

4.Tembo mtoto huzaliwa akiwa na kilo 80

5.Chakula cha tembo kwa siku ni kilo 300 na maji lita 40

6.Uume wa tembo una kilo 27,ukimuona wakati anafanya mapenzi kwa nyuma unaweza kuhisi ana miguu mitatu.

7.Ni moja kati ya wanyama ambao hawapendi kelele

8.Umri wake wa kuishi ni miaka 60

9.Tembo ana fanya mapenzi kwa masaa 12 masaa 6 ya mwanzo anamuandaa mwenzi wake na 6 yanayobaki ndio shughuli yenyewe na hiyo ni ile raundi ya kwanza.

10.Tembo dume huwa na wanawake wawili mpaka wanne

11.Akipiga bao tembo dume manii zake ni ujazo wa lita tano.

 
Sasa kuna haja ya kumjadili mnyama hapa? Halafu haya mambo ya kutuletea vipindi vya LEO TENA hayana faida hata moja kwenye jamii ya Great Thinkers.
 
basi kanizidi kwa kilo 5 tu,ila vilivyobakia vyote tuko sawa. Nalog off
 
Sasa kuna haja ya kumjadili mnyama hapa? Halafu haya mambo ya kutuletea vipindi vya LEO TENA hayana faida hata moja kwenye jamii ya Great Thinkers.

Weee Mwita acha hizo. Bujibuji katupa elimu tosha.
 
Sista tembo ndo balaa zaidi...
1) anaweza kuparamiwa na braza tembo kwa 6hrs straight
2) ana k kubwa kama kalavati.....27kg za mshipa wa braza tembo unaingia na naacha 5ltrs za manii...kama sio kalavati hilo ni nini?
 
Tuletee na wanyama wengine Bujibuji ukipata nafasi
 
hapo no 9 ni hatari. ingekuwaje kama na sisi wanadamu inakuwa hivyo, je tungefanya shuguli nyingine kweli maana tunavyopenda iyo issue mh nawaza!
 
Kabla hujamuiga tembo kunya boga bora uyajue haya kwanza.





  1. Tembo ndie mnyama mkubwa kuliko wote duniani. Hata hivyo, pamoja na ukubwa wake akitembea hana kishindo kabisa, miguu yake kwa chini ni kama ina sponge, na pia hapendi kelele.
  1. Tembo ana ukubwa wa tani 7 na hula mizizi, majani, matunda na magamba ya miti. Tembo pia hunusa harufu ya maji umbali wa meli 3.
  1. Umri wake wa kuishi ni miaka 60 hadi 70.
  1. Mkonga wa Tembo hutumika kwa shughuli nyingi, ikiwemo kuvutia pumzi na kunusia (pua), kulia, kuchotea maji ya kunywa, kukata matawi ya miti, kupigania,
  2. kuchimbia, kupapasana, na hata kujirushia maji na mavumbi kwa ajili ya kuhifadhi ngozi yake na maradhi na wadudu (mkono).
  1. Pembe yake moja inaweza kukaribia kilo 100 na urefu wa zaidi ya nchi 130. Pia jino lake moja linakaribia uzito wa kilo 20.
  1. Tembo anatumia masaa 16 kwa siku kwa kula tu, na kinyesi chake kwa siku kinafika kilo 150.
  1. Tembo huwa hasahau, chochote/yeyote alichowahi/aliyewahi kukiona/kumuona maishani mwake basi huwa anakikumbuka/anamkumbuka mara tu akikiona/akimuona
  1. Tembo huwa wanalia, kuhuzunika, hufurahi na kucheka pia. Vile vile wana huruma kiasi kwamba mtoto anapolia basi wote hukusanyana na kumbembeleza. Pia wanaomboleza pale mmoja wao anapofariki.
  1. Tembo ana uwezo wakuogelea masafa marefu.
  1. Tembo jike hubeba mimba miaka 2.
  1. Tembo mtoto huzaliwa akiwa na kilo 80 hadi 120
  1. Chakula cha tembo kwa siku ni kilo 300 na maji lita 40
  1. Uume wa tembo una kilo 27, ukimuona wakati anafanya mapenzi unaweza kuhisi kama vile ana miguu mitatukwa nyuma.
  1. Tembo ana fanya mapenzi kwa masaa 12, masaa 6 ya mwanzo anamuandaa mwenzi wake na 6 yanayobaki ndio shughuli yenyewe na hiyo ni ile raundi ya kwanza.
  1. Tembo dume huwa na wanawake wawili mpaka wanne
  1. Tembo dume "akifunga goli / akipiga bao" manii yake yanafika ujazo wa lita tano.
 
Wow...!!!!
Maelezo muruwa, ahsante sana kwa info, najuwa wengi hawajui haya...
Pia nasikia ukitaka kuwakimbiza Tembo karibu ya Mji au Shamba wewe choma pilipili, basi watakereka sana katika mapua yao na wataondoka pale..
 
mengine ya kuchapia.................. mfano urefu wa nchi 130 kwa penbe......................m hapo sio kweli............... halafu tembo hawezi kuswaga wanawake................... anaweza kupanda majike ya tembo tu................ hakuna mwanamke duniani anayewezxa kumhimili tembo.................. tumezoea kusikia majibwa ya wazungu tu yakipewa uroda na wanawake ila sio tembo.....................
 
Hivi Tembo nao wanafanya mapenzi???????????????
 
mnyama *mkubwa kuliko wote ni nyangumi,kafunue vitabu vya biology kwa maelezo zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…