Mfahamu the Green Mamba

Mfahamu the Green Mamba

Sikumbuki ni mwaka gani lakin huyu nyoka nishakutana nae juu ya mti wa mpera,kwa bahati nzuri nlikua na panga sa ile nmemwona akiwa karibu yangu lile shina alokuwepi nikaligonga na panga akaanguka chin akapotelea kweny majani
 
View attachment 1102622

Huyu mmoja kati ya nyoka hatari sana anayepeatikana mashariki mwa Afrika, ana ufanano wa karibu sana na yule black mamba

Kitaalamu huitwa "'Dedroaspis angusticep"' nyoka huyu huingia katika kundi la wanyama waishio juu ya miti yaani ARBOREAL kwa mara ya kwanza species hii iligunduliwa kwenye miaka ya 1840 hivi na zoologist mmoja aliyeitwa Dr Andrew katika kundi hili la hawa nyoka kuna species ambayo imepotea tayari ambao inasadikiwa ndio walikuwa hatari zaidi,

Sasa hawa huitwa green mamba kutokana na ufanano na wale black mamba "' koboko"' lakini hawa midomo yao ni meupe na meno yaliyojikunja hivi na yako hivi kwa ajili ya kuingizia sumu pale anapokuwa amemshambulia adui yake, jike urefu wake hufikia karibu futi 6.5 hivi na dume hufikia futi 5.7

Kwa kawaida Mungu alivyo wa ajabu pamoja na kuwaweka viumbe hatari mbali na makazi ya binadamu pia nyoka hawa wanaodaiwa kuwa na sumu kali ni wapole kupita kiasi na hushambulia pale wanapochokozwa na kwa viumbe vilivyowazidi ukubwa kama binadamu nyoka hawa hutoa tahadhari zaidi ya mara tatu kabla ya shambulio mfano kuna nyoka hutoa sauti ziitwazo '" sound of death'' mfano wa tairi lenye pancha hivyo ukisikia hivyo kaa mbali kitendo cha kumsogele ni kukiuka amri halali kwa hiyo shambilio lolote hatalaumiwa.

Nyoka huyu huweza kukushambulia kwa haraka hata zaidi ya mara tatu pale anapochokozwa

VIPI KUHUSU SUMU YAKE

Kama ulikuwa hujui huyu ana sumu mbaya na kali kuliko koboko ama black mamba, wakati black mamba akiwa na sumu yenye mchanganyiko wa sumu mbili huyu ni balaa zaidi kwani ana sumu yenye mchanganyiko wa aina NNE.....

Aina ya kwanza ni NEURO TOXIC VENON, pigo moja lenye ujazo wa gramm 90 likiwa na hii sumu linatosha kuathiri mfumo mzima wa neva za kiumbe aliyeshambuliwa sasa aina hii ya sumu pia anayo black mamba kinachowatofautisha na kumfanya green mamba awe tofauti na hatari ni hii sumu ya pili

Aina ya pili huitwa DENDROTOXIN VENON.....hii sasa ndo hatari kwani ndani yake ni mchanganyiko wa sumu aina tatu ambazo ni CALCICLUDINE, CARDIOTOXIN, na FASCICICULIN.....sasa ona balaa lake hapo unadungwa jino moja unakula mchanganyiko wa sumu zote hizo kweli huyu ni hatari jaribu kufikiri kama hiyo CARDIOTOXIN yenyewe ikiingia kwenye damu hukimbilia kuharibu mfumo wa moyo unaweza kukisia ni dakika ngapi zitakutosha kutubu dhambi zako maana kama usipopata matibabu mapema ni dakika 20 hadi 30 zinakutosha kuuona ulimwengu huu kwa mara ya mwisho.

Moja kati ya madhara utakayoyapata baada ya shambulio la nyoka huyu ni kuathiri mapigo ya moyo, kushindwa kupumua, kuvimba mwili mzima, na kupooza dah aisee huyu kiumbe ni hatari ila mpole hahahahah......

Baada ya mating jike hutaga mayai kati 4 hadi 17 na huanguliwa baada ya wiki 12 na kwa kawaida huishi hadi miaka 16

TAHADHARI

Mara unapokutana na nyoka huyu usijaribu kumshambulia maana kama nilivysema hapo awali aina hii ya hawa nyoka wana kasi ya ajabu na yeye akuonapo hujificha hivyo wale wenzangu na mimi wanapoona nyoka hukimbilia silaha kutaka kummaliza angalia usije kumalizwa kuwa mpole relax maana nyoka wana kitu inaitwa SENSE OF HEAT wanajua kama wanataka kushambuliwa maana bianadamu anapoona kitu cha kuopesha hushituka na joto la mwili hupanda kutokana na kuongezeka kwa mapigo ya moyo sasa hapa nyoka huhisi hii kitu ndio maana nyoka huweza kucheza na mtoto kwa sababu anajua hawezi shambuliwa

Tuwapende na tuwalinde wanyama na viumbe vilivyopo ndani ya Dunia yetu maana Mungu aliviweka ili viupendezeshe ulimwengu pia tujifunze kupenda utalii wa ndani Tanzania tuna utajiri wa viumbe na wanyama wakutosha tuwalinde kwa faida ya vizazi vijavyo.
Tuliwahi kukutana na Black mamba jioni tukiwa tunatoka kuwinda digidigi porini, nilikuwa na Uncle wangu ana Riffle yenye Binocular tulimzawadia risasi moja ya kichwa biashara ikaisha, nyoka na Binadamu wapi na wapi?
 
Green mamba hata siyo hatari kama mtoa mada ambayo anataka kutuamininisha na thread yake , nimecheza nao sana , Ukifika machame nkuu muulizie Riri utaambiwa tabia yake ya kuwafuga hawa viumbe since Akiwa std 2 Mpaka sasa hivi kaachana nao kashakuwa mkubwaaa
 
Green mamba ni wengi sana katika misitu ya Handeni-Tanga, enzi hizo natembea maporini haswa wakati wa mvua ukipumzika tu utashangaa ukiangalia juu ya matawi ya miti lazim umuone, nadhani wangekuwa wakali kwa kipindi nilichofanya hizo kazi ningalikuwa nishakufa
 
Hawa ndio wale nilikuwa nakutana nao sana kwenye mipera enzi zile za utoto...
Kwenye mikorosho noma Sana hasa ukipanda juu kutungua bibo utakutana na huyo kiumbe mzito,
Miaka ya 80 nilikutana naye tabata dampo kwenye mikorosho ya watu ebwanae wacha nijirushe toka juu ya mti na kutoka nduki Kali,
Maumivu nilienda kuyasikilizia home!!!
Ila ni kweli hawa nyoka hawana madhara Hadi wachokozwe
 
Huyo nyoka ni mjanja sana aisee..... ukimuona halafu ukageuza macho kidogo tu humuoni tena....
Sahihi a'fu wanauwezo mkubwa kukwepa mawe pindi wanaposhambuliwa.
Wazee wetu Zama hizo walikuwa wakituambia kwamba hivi vijamaa vinapenda kugonga kichwani hivyo vilikuwa na uwezo wa kupaa hewani na vikikugonga huponi.
 
Green mamba hata siyo hatari kama mtoa mada ambayo anataka kutuamininisha na thread yake , nimecheza nao sana , Ukifika machame nkuu muulizie Riri utaambiwa tabia yake ya kuwafuga hawa viumbe since Akiwa std 2 Mpaka sasa hivi kaachana nao kashakuwa mkubwaaa

Sio hawa mkuu tunaowaona ukitaka kuwatofautisha angalia midomo yao kama nikivyosema hapo wao wana midomo yenye rangi nyeupe na kijani kilichokolea sana
 
Huyu mdudu nimpore sana,tanga kuna kabila moja huluhusiwi kumuua huyu,na hata akiingia ndani wanadai ni baraka,ninyoka anae kaa kwenye miti hasa ile yenye kijani kibichi kama yeye.
View attachment 1102622

Huyu mmoja kati ya nyoka hatari sana anayepeatikana mashariki mwa Afrika, ana ufanano wa karibu sana na yule black mamba

Kitaalamu huitwa "'Dedroaspis angusticep"' nyoka huyu huingia katika kundi la wanyama waishio juu ya miti yaani ARBOREAL kwa mara ya kwanza species hii iligunduliwa kwenye miaka ya 1840 hivi na zoologist mmoja aliyeitwa Dr Andrew katika kundi hili la hawa nyoka kuna species ambayo imepotea tayari ambao inasadikiwa ndio walikuwa hatari zaidi,

Sasa hawa huitwa green mamba kutokana na ufanano na wale black mamba "' koboko"' lakini hawa midomo yao ni meupe na meno yaliyojikunja hivi na yako hivi kwa ajili ya kuingizia sumu pale anapokuwa amemshambulia adui yake, jike urefu wake hufikia karibu futi 6.5 hivi na dume hufikia futi 5.7

Kwa kawaida Mungu alivyo wa ajabu pamoja na kuwaweka viumbe hatari mbali na makazi ya binadamu pia nyoka hawa wanaodaiwa kuwa na sumu kali ni wapole kupita kiasi na hushambulia pale wanapochokozwa na kwa viumbe vilivyowazidi ukubwa kama binadamu nyoka hawa hutoa tahadhari zaidi ya mara tatu kabla ya shambulio mfano kuna nyoka hutoa sauti ziitwazo '" sound of death'' mfano wa tairi lenye pancha hivyo ukisikia hivyo kaa mbali kitendo cha kumsogele ni kukiuka amri halali kwa hiyo shambilio lolote hatalaumiwa.

Nyoka huyu huweza kukushambulia kwa haraka hata zaidi ya mara tatu pale anapochokozwa

VIPI KUHUSU SUMU YAKE

Kama ulikuwa hujui huyu ana sumu mbaya na kali kuliko koboko ama black mamba, wakati black mamba akiwa na sumu yenye mchanganyiko wa sumu mbili huyu ni balaa zaidi kwani ana sumu yenye mchanganyiko wa aina NNE.....

Aina ya kwanza ni NEURO TOXIC VENON, pigo moja lenye ujazo wa gramm 90 likiwa na hii sumu linatosha kuathiri mfumo mzima wa neva za kiumbe aliyeshambuliwa sasa aina hii ya sumu pia anayo black mamba kinachowatofautisha na kumfanya green mamba awe tofauti na hatari ni hii sumu ya pili

Aina ya pili huitwa DENDROTOXIN VENON.....hii sasa ndo hatari kwani ndani yake ni mchanganyiko wa sumu aina tatu ambazo ni CALCICLUDINE, CARDIOTOXIN, na FASCICICULIN.....sasa ona balaa lake hapo unadungwa jino moja unakula mchanganyiko wa sumu zote hizo kweli huyu ni hatari jaribu kufikiri kama hiyo CARDIOTOXIN yenyewe ikiingia kwenye damu hukimbilia kuharibu mfumo wa moyo unaweza kukisia ni dakika ngapi zitakutosha kutubu dhambi zako maana kama usipopata matibabu mapema ni dakika 20 hadi 30 zinakutosha kuuona ulimwengu huu kwa mara ya mwisho.

Moja kati ya madhara utakayoyapata baada ya shambulio la nyoka huyu ni kuathiri mapigo ya moyo, kushindwa kupumua, kuvimba mwili mzima, na kupooza dah aisee huyu kiumbe ni hatari ila mpole hahahahah......

Baada ya mating jike hutaga mayai kati 4 hadi 17 na huanguliwa baada ya wiki 12 na kwa kawaida huishi hadi miaka 16

TAHADHARI

Mara unapokutana na nyoka huyu usijaribu kumshambulia maana kama nilivysema hapo awali aina hii ya hawa nyoka wana kasi ya ajabu na yeye akuonapo hujificha hivyo wale wenzangu na mimi wanapoona nyoka hukimbilia silaha kutaka kummaliza angalia usije kumalizwa kuwa mpole relax maana nyoka wana kitu inaitwa SENSE OF HEAT wanajua kama wanataka kushambuliwa maana bianadamu anapoona kitu cha kuopesha hushituka na joto la mwili hupanda kutokana na kuongezeka kwa mapigo ya moyo sasa hapa nyoka huhisi hii kitu ndio maana nyoka huweza kucheza na mtoto kwa sababu anajua hawezi shambuliwa

Tuwapende na tuwalinde wanyama na viumbe vilivyopo ndani ya Dunia yetu maana Mungu aliviweka ili viupendezeshe ulimwengu pia tujifunze kupenda utalii wa ndani Tanzania tuna utajiri wa viumbe na wanyama wakutosha tuwalinde kwa faida ya vizazi vijavyo.
 
Black mamba""""koboko""" acha bwana Yule kiumbe mimi naona huyo nimpole sana.
 
Hawa nyoka ni wapole sana,kule mbeya kwenye majani ya migomba nimekutana nao sana,lakini kwa ukubwa wa saizi hiyo sijawahi kuwaona.
Wale saizi yao ya kati.
 
mimi niliwahi kumjeruhi,akantoroka baada ya mda nko maeneo ya shamba naskia kitu kama kinanifata kugeuka nkamwona ananifwata kwa speed,nkakimbia bado yuko na mimi nkawahi rungu nkammalizia,alikua na jeraha nkagundua aliniwekea kisasi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom