Mfahamu Slay queen

Tanzania, Hivi unaujua Kenya vizuri? Hapo kwa Nigeria nakubali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jf wapo wengi sana,utaona watu wanachat hapa kama utani vile mara utasikia afu mpwa wangu kale ka mzigo vipi tena,unaona kidume anavimba oooh ulisema ni kwny no. Ya Voda eeeh hahah.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
1..ni magold diggers yenye utajiri wa kuigiza kweny mitandao ya kijamii lakini kiuhalisia ni zero.
2.ndo mabingwa wakuita wanaume broke niggarz ..
3.wanajua kuvaa vichupi na kuning'ing'inia kweny swimming pools hasa kweny hotel kubwa ili kutega mabwana za watu..
4.ukiwaona unaeza hisi labda hawanyi,hawakojoi,hawatemi mate n.k
5.huwa wanatokea uswahilini ila wakifika mjini wote ni wa kishua...matako yao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…