Mfahamu Salma Kikwete

Nilidhani athari za 'tezi dume' zinamsukumo mkubwa kwenye tangazo hili la. . . . . . . . .

otherwise sina sababu ya kumfahamu mutu huyu.
 
Mimi nimezaliwa Mchambawima Zanzibar mke wangu nilikutana nae Mfereji wa wima Zanzibar na tulifungia ndoa Dore.
 
Dini inaruhusu sheheee

Heri ya wale wanaofuata dini kuliko wale walienda kufanyiwa full massage halafu wakachonga mzinga na hatimae mahakama ikavunja ndoa halali ya kanisani.
 
Kaswali aka mngemwuliza pia 1st mama "unazungumziaje kesi ya babu Seya". Tunahitaji hisia zake....!
 
Du ngoma ya ufisadi bado mbichi, hawa5 waliopo shule sijui watakabidhiwa migodi ipi?
 
Atakuwa ni huyo wa kidato cha sita coz' alimaliza kidato cha nne mwaka 2011 na kupata IV:27.
 
Ongera zake na uzazi wa mpango sasa huyu wa la tatu si atamuita Jk babu??
 


Mkuu weka mambo adharani tafadhali
 
Nasikia na pale Iringa mkulu kajipakulia mtoto wa Asasi!
 
Mama Salma ni Mama mwema saana mpole na mtulivu mmmno,am happy with our first Lady kwakweli.



Na anapendeza kuwa a first lady si kama Mama Mkapa kiasi kwamba akiwa front page watu wanashindwa kununua gazeti.
 
Mkuu Mwanaisha mbona nimeshamuelezea.kwa mama salma wakiume wanne wa kike mmoja,au umerogwa wewe?,
Mbona povu?
Mtoto wa kwanza aliyepatikana hapa Dodoma mbona hajatajwa?
au kwa vile Mama Salma hakumlea lakini kwenye hafla na hata Harusi pale Mlimani City walihudhuria?
angemtaja tu na hata yule wa Arusha
 
Una maanisha JK alikutana na Salma wakati ni mwanafunzi au?

Another view. Walikutana mama akiwa JKT Mh. a link has jeshini! Kwa jinsi JK alivyofanikiwa kisiasa Mama Salma lazima ni mwanamke, mke na mama mzuri. Panapo stahili sifa MTU apewe sifa zake. Hongera Mama Salma. Tunachosubiri kwako ni kuchukua jimbo la Lindi mjini ili watu watambue potentiality uliyo nayo.
 

Another Hawa Ghasia
 

Another truth failure! Salma wenu alikuwa mtu wa ngono nyingi sekondari na kama ingekuwa ktk sheria hii ya sasa na ubakaji, Prof. J alibaka. Salma alibebwa akiwa mwanafunzi tu na tunaofahamu hatuoni ajabu maana shuleni hakuwa na kitu zaidi ya ngono za mapema kabisa.

Acheni kuwa munaleta topic kama hizi wengine zinaishia kuwaumbua tu! Historia yake kwa upande huo imepinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…