MAMA ABDURI naye afurushwe ili Tanganyika irudishe hadhi yake.
Tunaaibika sana.
Wakati wa Magufuli nilikuwa najitapa kwenye mitandao ya wakenya lakini tangu huyu MAMA ABDURI awe presidaa naona HAYA natamani kujiuzulu ukuu wa mkoa.
Cc:
Lamomy Extrovert Rabbon