tinkanyarwele
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 2,008
- 1,954
Huyu Kasisi nilimuogopa anajua kazi kweli kweli si utaniKasisi hadi leo anaishi hivyo, anajenga the only 5 stars hotel in Mbeya,ana ghorofa la mwanzo mwanzo kujenwa hapa Mwanjelwa. Ana pesa ndefu lakini kajishusha.....MASKINI TUNAMUITA MCHAWI,ila angekuwa mzungu tungemsifia.