Mfahamu Noureddine wa Genk kwa Samatta

Mfahamu Noureddine wa Genk kwa Samatta

No condition is permanent ...ya kesho huyajui...mdharau mwiba mguu huota tende...
 
Screenshot_2017-10-04-12-27-12.png
 
Unajua nchi za europe watu very independent hawakai kubadilishana mawazo hata majirani kwa hiyo wanahisi wapweke sana. Hasa unapokutana na mwafrika aliyezoea maisha ya kusabahiana, kupiga soga. Hata kama ana pesa ila wanakosa raha ya kubadilishana mawazo na wenzake. Sasa ukimpatia kwa story ukamfurahisha atakupenda na kukusaidia kuliko na kutembea na wewe kila wakati kwa kuwa anajua munaelewana na anapata kampani nzuri.
 
Pamoja na utamu wa maudhui yaliobebwa kwenye bandiko hili uwasilishaji wa habari yenyewe umekua ni wakiufundi mno! Kwa maoni yangu Edo Kumwembe ni mmoja wa waandishi bora kabisa wa insha(essay) waliowahi kuwepo nchini. Atakuvuta kwenye hadithi yake huku akikuacha na kiu ya kutaka kuja nini kilichopo kwenye msari/para inayofuata. Ni skills za muhimu sana kwa mwandishi yoyote kama atataka kazi zake ziwe zinasomwa bila kuchosha hata zikiwa ni ndefu
 
Nimejifunza jambo hapa

Wacga mungu wana cgance kubwa sana ya kufanikiwa
 
ujumbe umfikie J.Murro,A.Happi,clouds media,J.pMagufuli,Gambo,Na na Makonda.
 
Safi sana inapendeza na inatufundisha kitu fulani haswa sisi watanzania, hili suala limenikumbusha miaka fulani huko nyuma nilikutana na jamaa mmoja anaitwa KASISI huko Mwanjelwa Mbeya, aliwahi kupakua mizigo kutoka stoo baadae tukajua ndiye boss mwenyewe wakati wa malipo ndo tukagutuka.... Sasa hivi sijui yuko level zipi. Ila waliowengi tukishapata pesa tunajisahau.......
 
Kasisi hadi leo anaishi hivyo, anajenga the only 5 stars hotel in Mbeya,ana ghorofa la mwanzo mwanzo kujenwa hapa Mwanjelwa. Ana pesa ndefu lakini kajishusha.....MASKINI TUNAMUITA MCHAWI,ila angekuwa mzungu tungemsifia.
 
Hivi ndiye yule mwenye Mbeya Hotel mara baada ya kutoka maeneo ya Mama John ukiwa unaelekea Kabwe ?
 
Back
Top Bottom