Mfahamu Mtawala wa Dubai, Sheikh Maktoum

Michewen

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
24,565
32,210
Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum (73) ndie Mtawala wa Dubai na pia Ni Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Waziri wa Ulinzi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).

Ndie aliyefanya mageuzi makubwa kwenye Emirati ya Dubai kutoka jangwa mpaka Sasa mji maarufu na kuvutia watalii toka pande zote za dunia.

Anatajwa Kama tajiri duniani aliyefanikiwa katika biashara ya "real estate"

Pia, Ni mwandishi wa vitabu kadhaa ikiwemo Flashes of thoughts. Tofauti na watawala wengi wa Afrika ambao hata kuandika Pamphlet tu Ni issue

NB: Picha Kwa hisani ya Square yards.

images (87).jpeg
 
Attachments

  • B81190F82279384297B001DC1EDF36CC88622EBB.jpg
    B81190F82279384297B001DC1EDF36CC88622EBB.jpg
    24.1 KB · Views: 24
Nampa hongera.Alifanya kazi kubwa sana kuigeuza Dubai.huwezi amaini kama lilikuwa jangwa.Nadhani viongozi wetu wa kiafrika wangekuwa wanajifunza kwa wanamapinduzi wa kimaendeleo kama hawa.Sio kuishia na makesi kesi ya ufisadi baada ya kumaliza utawala
 
Pongezi kwake,sema ni katili sana hadi mkewe anayeitwa Princess Haya alimkimbia .Princess Haya ni mtoto wa marehemu king Hussein wa Jordan. Pia huyu Sheikh ana tabia ya kuwatesa wanae wa kike na kuwafunga kifungo cha nyumbani.Binti yake ni mke wa Sheikh Mansoor mwenye Man City.
Hayo kama ni ya kweli, hiyo nayo ni kasoro kubwa sana.Sema pia ni utamaduni wa kiarabu kwamba wanawake hawana thamani sawa publically
 
Nampa hongera.Alifanya kazi kubwa sana kuigeuza Dubai.huwezi amaini kama lilikuwa jangwa.Nadhani viongozi wetu wa kiafrika wangekuwa wanajifunza kwa wanamapinduzi wa kimaendeleo kama hawa.Sio kuishia na makesi kesi ya ufisadi baada ya kumaliza utawala
Mwanamapinduzi Magufuli alidhihakiwa na kuitwa dikteta ila kama angekuwa na akili za kipuuzi kama za huyu wa Awamu ya 6 ungekuta mpaka sasa nchi imebakiwa na Jina tu.
 
Dubai ni popular tu Ila hawana utajiri kama Abu Dhabi. Wakati fulani ilibidi Abu Dhabi amsaidie Dubai kufuatia gharama kubwa alizoingia Kwa lile jengo refu duniani (Burj Al Khalifa) maana Dubai nusura wafilisike. Na ndio maana jengo lile limeitwa kwa jina la Rais wa Zamani wa UAE na Mtawala wa Abu Dhabi Khalifa bin Zayed Al Nahyan.
 
Udugu kufaana si kufanana
 
Pongezi kwake,sema ni katili sana hadi mkewe anayeitwa Princess Haya alimkimbia .Princess Haya ni mtoto wa marehemu king Hussein wa Jordan. Pia huyu Sheikh ana tabia ya kuwatesa wanae wa kike na kuwafunga kifungo cha nyumbani.Binti yake ni mke wa Sheikh Mansoor mwenye Man City.
Umekaa kinafki tu!!..huyo sheikh mkewe alitaka talaka kisa sheikh haonekani nyumbani mambo mengi ya kufanya,hiyo hela ya ndani anayofungia Binti zake Ina walinzi wangapi!?
 
Wakoloni walijenga makanisa na kwako fresh tu...Ila mwarabu na misikiti yake inakutia hofu hata kunya unashindwa,utadhani utalazimishwa kuswali
Hatuzungumzii historia, tunazungumzia Sasa. Mkoloni wa kizungu alijenga makanisa, shule, mahospitali, na mbo chungu mzima ya manufaa kwa nchi na vizazi vijavyo

Mwarabu yeye ajuacho msaada ni kujenga misikiti na tende za bure huwa hafikirii kujenga hospitali au shule tofauti na madrasa. Yeye huwa chochote snachokifanya ni mpango wa muda mrefu wa kuibadilisha dunia kuwa ya Imani yake kitu ambacho kwake ni njozi za mchana lakini hakati tamaa.

Karne ya Sasa hakuna kanisa linalojengwa kwa msaada wa mzungu, Bali ni waamini wenyewe wanajenga kwa nguvu zao na haeajengi makanisa tu Bali huduma za kijamii wanazingatia
 
Back
Top Bottom