Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,137
- 48,808
Ni lifisadi kweli
Lakini kusema Magu hawezi kwake
Unajidanganya
Leo Magu ajafungua mdomo kumuongelea na hawezi kufungua mdomo kumuongelea. Uyo ndie Tycoon Mtemi Chenge.
Ni lifisadi kweli
Lakini kusema Magu hawezi kwake
Unajidanganya
Walimpigia kura za ndioooooooo. Hawawezi kumtoa hapo kwenye cheo.Hicho cheo cha kuendesha bunge alikipataje? Wataweza kumuondoa akae pembeni?
Usijidanganye hakuna wa kumtoa chenge kwenye kiti .hata Magufuli anajua.Ataondoka tuu hata kuwekewa kitu kwenye mic
Magufuli oyeeeeee
Badala ya kusema walio jela ndo wajiandae kumpokea..inamana mtamuachia huru?Mjiandae kumpokea huko jalalani
Kwani wewe mumeo alishakupa talaka?umeolewa au bdo???
Alafu mko nae humo humo CCM!! kweli ccm ni kichaka cha wanyang'anyi!!Andrew Change alizaliwa Tanganyika Tarehe/Mwezi/Mwaka 24/12/1947 . Kwa sasa ana miaka 69. Andrew Chenge ni Mbunge wa Bariadi taangu 2005.
KAZI NA TEUZI MBALIMBALI
1993-1995 Rais Ali Hasan mwinyi alimteua kua mwanasheria mkuu wa serikali Alichaguliwa kuwa mwanasheria mkuu wa serikali (AG)
1995-2005 Rais Benjamin Mkapa alimteua Andrew Chenge kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali wadhifa aliodumu nao kwa miaka mingine 10.
2009- Chenge akiendesha gari Jijini Dar es Salaam alimgonga mkazi wa Dar es Salaam na Kumsababishia Kifo ambapo alipigwa fine ya Sh. 700,000/= kama adhabu.
Mwaka 2015 Wananchi wa Bariadi walimchagua tena Chenge.
ELIMU YAKE:
LLB (UDSM)
LLM (Harvard)