Mfahamu Mtanzania Andrew Chenge ambaye huwa anahusishwa kwenye kashfa nyingi

Umesahau kuwa ni yule aliyeweza kuingia bungeni usiku na kunyuizia unga unga mweupe kwenye viti vyote vya wale waliokuwa wanamjadili kwenye kashfa ya rada. Aliyeweza kuingia bungeni chini ya cctv camera zote wala hakuna moja iliyo muona. Hata leo. atakaye jaribu tu kumjadili, ataondoka yeye kimwili na kiroho amwache akila gambosh
Unga Unga ule huwa hakuna cha bunduki wala jeshi,
 
Hicho cheo cha kuendesha bunge alikipataje? Wataweza kumuondoa akae pembeni?

Nani mwenye ubavu wakumtoa huyo? Hata wananchi wake bariadi wanampigia kura kwa kumuogopa sio kwamba wanapenda. Ndo mana wakina mama tiba wana amani ktk lile dili lao yupo mbabe.
 
pia ni mwanachama wa CCM na ana baraka zote za chama chake kuwa mmoja wa viongoz wakubwa pale mjengoni
Ikumbukwe jiwe wakati wa kampeni jimboni kwa chenge alitaka kugoma kumnadi chenge.kilichotokea ni siri yao wawili, ila mwisho jiwe alimnadi chenge kwa wapiga kura.
 
Back
Top Bottom