Mfahamu mdudu kunguni (bedbugs) na jinsi ya kumuangamiza

Hapa nahitaji ufafanuzi wa lugha. Ukichemsha maji maana yake nyuzi joto linafika mia maji yanachemka. Lakini umeongeza "Mpaka yawe ya moto Vizuri" kwani maji yaliyochemka huwa siyo ya moto? au kuwa ya moto vizuri ni zaidi ya kuchemka? au kuchemsha muda mrefu?
Maji yakiisha chemka huna haja kuendelea kuyachemsha.
Hahaha ukiwa mganga inabidi wagonjwa wakuelewe kwanza kabla hawajaelewa maelezo ya dawa.
 
Tumia mafuta ya taa mkuu yatakusaidia sana nyunyizia kwenye chaga za kitanda, godoro halafu kagua kwenye pembe za chandarua kama wapo mwagia mafuta ya taa.
Sahihi Kabisa.
Dawa nyingine atumie sabuni ya unga.
Sabuni ya unga "ya kupima".Unakoroga lt 2 za maji baridi kwa gm1000.
Mchanganyiko huo kwa kunguni ni zaidi ya maji moto ama acid.
Ni sumu ya ajabu sana kwa kunguni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ungekuwa hujaelewa ningekuelewexha

#97blessed
 
Mkuu haujashauri kitu hapo kuhusu kuwakimbia.

Kunguni hafi njaa anasinyaa tu anasubiri hata mwaka hafi.

Halafu kama nyumba ya mbavu za mbwa, akiwakimbia wakakosa chakula, watatamblia vyumba vingine.

Kama fumigation wako mbali, atumie kunyunyizia mafuta ya taa maeneo yote ya chumbani mwake na baadaye akoroge sabuni ya unga Kwa maji baridi wastani wa 2ltrs/1000gms amwagie kitanda na net.

Afanye hivyo kila baada ya wiki ndani ya mwezi, kunguni itabaki stori.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maji ya moto....chemsha pipa mbili zitokote kiwango cha conc sulphuric acid

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia mafuta ya taa mkuu yatakusaidia sana nyunyizia kwenye chaga za kitanda, godoro halafu kagua kwenye pembe za chandarua kama wapo mwagia mafuta ya taa.
Mwezi wa tatu napaa tena Italy sidhani Kama hata ushawahi tumia usafiri wa ndege au huwa mnatuona tu angani
Tabia zenu za uchafu tunazijua
Italy tu unasumbua hivi ungekaa sweeden au finland ingekuaje?,maana uchumi wa italy kwa europa sio mzuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado hujaua wakiamka mbona utakimbia kitanda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda kariakoo soko kuu..upewe dawa ya kupiliza..itabaki historia

Pale kuna dawa ya wadudu..na utapata wstalaam..nakuhakikishia ndani ya week moja ....utalala kwa amani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumia mafuta ya taa mkuu yatakusaidia sana nyunyizia kwenye chaga za kitanda, godoro halafu kagua kwenye pembe za chandarua kama wapo mwagia mafuta ya taa.

Tumia brashi ya rangi ya nchi 3 kupaka mafuta ya taa kwenye kingo zote za godoro pia paka katika maungio ya chaga na kitanda. Hakikisha godoro lina cover ambayo haina matumdu ili wasijichimbie ndani ya sponji.
Mafuta ya taa yataua kunguni wazima na mayai pia hivyo life cycle utakuwa umeithibiti.
 
Vipi ukichanganya bila kuchemsha hayo maji haitasaidia?
 
Italy tu unasumbua hivi ungekaa sweeden au finland ingekuaje?,maana uchumi wa italy kwa europa sio mzuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa sio nzima wewe hizo nchi ulizozitaja haziifikii Italy kiuchumi sema kinachowasaidia ni kwamba uchumi wao uko evenly distributed unadhani kwanini nchi ulizozitaja hazipo G7/8 wakati Italy IPO?
 
Hiyo brashi lazima iwe ni ya inchi 3? Ikiwa ni ya inchi 2 au 4 haitafaa?
 
Nenda kariakoo soko kuu..upewe dawa ya kupiliza..itabaki historia

Pale kuna dawa ya wadudu..na utapata wstalaam..nakuhakikishia ndani ya week moja ....utalala kwa amani

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda soko la Kariakoo maduka ya zana za kilimo ulizia dawa inaitwa LAVA.Hi ni kiboko changanya na maji puliza ndani ya nyumba,vitanda na chaga zake.Utateta mrejesho nina hakika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulifanyaje mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…