Mfahamu Marehemu Dr Sebi

Mfahamu Marehemu Dr Sebi

Tunaomba mrejesho kwa waliopata matokeo chanya ya Water fasting, Kuepuka nyama, Na Miongozoz mingine ya Dr Sebi.
 

Mfahamu Marehemu Dr Sebi​

 

Attachments

  • MFAHAMU DR SEBI MWAFRIKA ALIYEGUNDUA DAWA YA UKIMWI NA WAZUNGU WAKAMPOTEZA MAISHA YAKE BILA KU...mp4
    9.5 MB
Usibishe, dadisi kwanza ndipo ulete pingamizi
50 Cents alikaa muda gani bila kunywa ili pate shape mgonjwa wa kansa?
Waster fasting ni njia nzuri sana japokuwa sijajaribu ila inaweza kuwa na matokeo mazuri kwa wale ambao wanataka kupunguza mwili kwa haraka.

Jambo la msingi ni kuzingatia nidhamu ya ulaji baada ya kufanya water fasting.
 
Back
Top Bottom